Pamoja na makosa madogo madogo ya kiuandishi. Unapoint kijana, kimsingi mpaka hivi sasa hakuna chuo kinachotoa madaktari bora zaidi ya Bugando hapa Tanzania.Hii ni kuanzia undergraduate mpaka post graduate.
MUHAS wamebaki na jina tu. Waalimu wako bize na vijiwe mjini hawana muda wa kutosha kutoa mentorship kwa vijana. Kutwa wapo TUMAINI, HINDUMANDAL, AGAKHAN NA VIJIWE VINGINE. Vijana unawakuta wanarandarand mawodini bila usimqmizi na muongozo wa kutosha. Waalimu ni arrogant kam MENINGITIS alivyo arrogant. Wanajisifia tu..utasikia i am the only so and so in TANZANIA, Sasa unakuwa proud kuwa peke yako? akimaanisha kuw a ni intelligent zaidi wakati tunawajua wameanzia diploma...na kwa pespective ya MENINGITIS kuanzia diploma ni UKILAZA.
Huu ni wakati MUHAS kupokea changamoto kutoka vyuo vingine positively na kujifanyia self evaluation na kuchukua hatu madhubuti.
Ukija kwenye usimamizi katika research dissertations kwa wanafunzi wa postgraduates ni worse. Waalimu hawanamuda wa kusoma dissertion ya mwanafunzi. Kutwa kukimbizana n vijiwe mjini, waalimu wamejawa hofu ya kunyang'anywa vijiwe na wanafunzi wao, hivyo wanahakikish wanagraduate wakiwa na as little knowledge as possible. HIYO NDIYO MUHAS YA LEO BWA MDOGO MENINGITIS.
Ndugu meningitis nenda mahospitalini ambako madaktari intern kutoka vyuo mbalimbali wanafanya internship, nenda ongea na ma MO au Residents wanaofanya nao kazi, watakuambi wanafunzi wa MUHAS wakoje hivi sasa. Acha kuongea bla bla hapa. Na bahti nzuri wote wanafanya intern katika hospitali hizo hizo chini ya wasimamizi wale walewale na wanakuwa recommended for regiatration na watu hao hao kwa ajili ya registration kwenye bodi hiyohiyo.
Sasa unaposema kuna madaktar wanasajiliwa na kupewa vyeti vya udaktari wakati hawana sifa nashindwa kuelelewa msingi wa hoja yako ni nini?. Unataka tuende mbali na kuanza kuangalia huyu daktar anaenitibu alifaulu vipi huko chuoni, kwamba nikikuta ulipata C kwenye OBGY basi hunizalishii mke wangu. Daktar jitazame, zingatia kanuni na miiko ya taaluma yako. Usipende ku create hofu kwa wananchi pasipokuwa na sababu za msingi.
Niko RWANDA Huku kuna madaktari wamesoma BUGANDO hakik they are doing wonderfull and i am proud of them as fellow TANZANIAN.
Pole sana Daktari ambaye unajinadi kuwa upo Rwanda tena kwa mikoogo na ujuvi!
Hebu waulize hao madaktari wenye asili ya kinywaranda especially maspecialist wa hapo Rwanda walisoma wapi halafu utanijibu.
Kama kufanya kazi ya udaktari nje ya Tanzania ndio kigezo chako cha ubora wa Bugando basi nenda Botswana utawakuta wana MUCHS wako wizarani,nenda south Africa utawakuta wana MUCHS wanamiliki hospitali.
Ni hulka hii hii ya kudharau ukweli mchungu kwamba Muhimbili au UDSM ni centers of excellency ndio imepelekea kuibuka kwa vyuo vya kata.Ni hulka hii ndiyo imefanya eti hata vilaza kujilinganisha na vipanga na kuona mambo ni marahisi tu!Ni hulka hii inayomkosesha mwanafunzi wa shule ya msingi ama sekondari anakosa role model!
Ni hulka hii inayoipa nguvu wizara ya afya au elimu ambapo kwa kiasi kikubwa wamejaa wataalamu wenye elimu za kuungaunga kuona kwamba yoyote aweza kuwa daktari,nurse,muhudumu wa afya kutoka chuo chochote tu,by the way Muhimbili wanacomplicate tu halafu mshahara si ule ule!!
Ni hulka hii inayofanya kupaona Agha Khani na hospitali za private ni bora sanaa kuliko Muhimbili kisa Uzuri wa majengo lakini ikishindikana wanarefer Muhimbili.
Ni hulka inayonikera kweli kweli ya kutokukubali kuwa kuna 1 na 9,kuna mwanga na giza,kuna juu na chini,kuna vipanga na vilaza,kuna DAR na Mtwara!
Hivi ni kwa nini hatupendi kuukubali ukweli huu mchungu...ambao mimi nimeusema na nitaendelea kuusema,mchukie au mfurahi au mtukane.
Bwa Dr wa abroad(rwanda) naona ulisikia sikia kuwa machifu wa muhimbili hawapiti mawodini na hivyo mentorship ni tatizo!porojo zile zile!mwambie aliyekuhadithia akusumulie vizuri!hivi chifu wa firm one akiondoka unakatazwa kwenda firm two?Anyways sihitaji kuingia into detailed experience ya uwepo wangu Muhimbili,Imtu,Udom n.k
Mimi ninapoendaga mahospitalini kule wanapopelekwa interns huwa siwaulizi MO au Residents kuhusu ubora wa interns bali nawauliza wahudumu na manesi na wagonjwa na majibu ninayoyapata ndio basis ya msimamo wangu huu ambao nilitarajia kuwa mtauita ni 'arrogance'
HOJA YANGU HUIFAHAMU?aunataka kusympathize na madaktari,wanafunzi wa IMTU?
Kama Muhimbili bado hajafikia kiwango sahau kuhusu taasisi hizo nyingine huu ni ukweli mchungu!
Unaongelea maadili ya udaktari?Hapo ndio umenikumbusha kitu....kwa taarifa nilizonazo ni kwamba somo la medical ethics halipo kwenye mitaala ya hivyo vyuo vya kata !
Daktari wa Rwanda karibu kwa mjadala.