Bomu hatari duniani lipo Russia!!

Bomu hatari duniani lipo Russia!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.

Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
 
Attachments

  • satan.jpg
    satan.jpg
    40.2 KB · Views: 442
  • Puttin.jpg
    Puttin.jpg
    12.5 KB · Views: 230
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.

Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"
Never end ever..hawana lolote. Dubiri atakavyosambaratishwa zikianza.
 
Hiyo ya uwezo wa kuigeuza ufaransa yote kuwa majivu kwa bomu moja na ya kuigeuza USA kwa mabomu 54 ni maneno tu.
 
Unaota? Nani alimsambaratisha Hitler? Wakati Uncle Sam Vietnam tu ilimsambaratisha!
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na parts kubwa ya russia ya ulaya ilikuwa imetekwa.na walishaanza kujenga maandaki kuulinda mji wa moskow maana germans walikuwa wanakaribia.wajerumani walichokosea ni kudivert wanajeshi wengi kuiteka kiev na kingine kuwa na maadui wengi.wao wakiwa wachache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon
 
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu,lina uzito wa tani zaidi ya 100,linabeba mabomu 10-15 ya atomic,kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.

Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi
"we have the best army in world"

Source please
 
Labda huijui tuu ww2 ilivoenda. Russia alisha surrender na chache.na kama lengo lao la vita lingekuwa kuiteka urusi.wangeiteka tuu.maana walikuwa na more advanced weapon

kwanza ujeruman alipigana na wengi
 
Back
Top Bottom