Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Sijawahi kukutana na Gazeti hilo.Nimeiona hii heading kwenye gazeti la Wananchi!
Jiongeze basi!!!!!!!Sijawahi kukutana na Gazeti hilo.
WANANCHI...!!
Nalitambua gazeti la Mwananchi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na mtu kuvunja banda la kuku tu!Kw hio mama Anna mkapa ananshida gani hata hii nyumba ikivunjwa?
Msipumbazwe
Kwani hata Sumaye ana shida gni yale mashamba yakichukuliwa na serikali na kupewa wananchi? MsipumbazweKw hio mama Anna mkapa ananshida gani hata hii nyumba ikivunjwa?
Msipumbazwe
Wanataka kupumbaza watu ili wakubaliane na ukatili wanaowafanyia watuKw hio mama Anna mkapa ananshida gani hata hii nyumba ikivunjwa?
Msipumbazwe
Kwani hata Sumaye ana shida gni yale mashamba yakichukuliwa na serikali na kupewa wananchi? Msipumbazwe
Mimi ukivunja banda langu la kuku umenimaliza.Ni sawa na mtu kuvunja banda la kuku tu!
Ishu ni kuchukua mashamba ya Sumaye kwa kisingizio cha pori na kuyaacha ya akina Mkapa, Kikwete, Mwinyi and the like; na mengine ya wana CCM ambayo ni mapori vile vile. Kumwonea kwa vile yuko upinzania.Kwani hata Sumaye ana shida gni yale mashamba yakichukuliwa na serikali na kupewa wananchi? Msipumbazwe
Kama JPM anavunja sheria, ajue kuwa akija Rais mwingine atavunja sheria vile vile bila kujali kuwa rais hashitakiwi, atavunja sheria hiyo!Sumaye kwanza nina hasira naye.
Chukueni kila kitu chake. Na Lowasa naye wote hawa bebeni kila kitu wajue kuwa what goes around comes around.
Kuwa wajue kesho tu rais anaweza akawa hata Makamba au Nape na kibao kikawageukia.
Kuwa kile kiti hakuna mwenyeww. Na liwe funzo kwa wabunge wa ccm. Kuwa mnashangilia mambo ila kesho kesho kutwa mtajikuta upinzani mnasugua benchi pia