Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Mama Ana anamiliki apartments kule Yombo, amewapangisha hadi Wazungu, hivyo hana mashaka kabisa na hicho Kijumba...
Hana hiyo jeuri hata 0.1% kuchukua ya mashamba ya wanaccm,ardhi yote kubwa moro,manyara,iringa,rukwa,mbeya etc ni mali ya viongozi wa ccmUmemsikia Lukuvi jana? Zoezi linaendelea na huenda hao uliowataja wakafikiwa pia!
Sumaye msahaulifu sana, hata mashamba aliwahi kuyakana na kusema anayejua yalipo aende akayatwae yawe yake! Enzi za Kubenea kabla hajachakachuliwa!!!!!!Mkuu yeye sumaye kwa mdomo wake bila kushawishiwa na mtu yeyote aliwaambia wafanyabishara kwamba wakitaka mambo yao yaende vizuri wanatakiwa kuweka bendera ya ccm kwenye biashara zao.
Mkuu kinyume cha agizo hilo ni nini?
Kwa hiyo walipokwenda kwenye mashamba yake walazikosa bendera za ccm.....
Ni kilio, serikali inatekeleza agizo la sumaye mwenyewe.
Jumba la mchungaji Rwakatale limebomolewa au msumeno wa sheria ni mbutu?Sio ajabu mkuu...Sheria ni msumeno.
Wanajamvi hii nyumba ya mama mkapa iliyokuwa imewekewa alama ya x mbezi kwa msuguli mpaka Leo haijabomolewa richa ya nyumba zingine za jirani zote kubomolewa na TANROADs.
Kuna habari za chinichini kuwa maafisa wa TANROADs walifika usiku hapo maeneo ya mbezi kwa msuguli na kuhamisha mawe yanayoonesha mwisho wa barabara ili kuinusuru nyumba hii, pia ukuta wa wigo wa hii nyumba uliokuwa imewekewa alama ya x ulibomolewa na kujengwa upya ili kupoteza ushahidi je hii ni haki?
Kwanini wananchi wengine wabomolewe halafu yeye abaki?
Halafu hapo hapo mbezi kwa Msuguli kuna nyumba ya mfanyakazi wa TANROADs anayejulikana kama Mama Koku naye nyumba yake iliwekewa x lakini kutokana na cheo chake imeachwa na nyumba zingine zimeshabomolewa katika eneo hilo je hii ni haki?
Hili nalo sikulijua ngoja nifuatilie aisee jamani yaani walalahoi wanabomolewa nyumba zao halafu wengine wanaachwa kwanini?Halafu hapo hapo mbezi kwa Msuguli kuna nyumba ya mfanyakazi wa TANROADs anayejulikana kama Mama Koku naye nyumba yake iliwekewa x lakini kutokana na cheo chake imeachwa na nyumba zingine zimeshabomolewa katika eneo hilo je hii ni haki?
Kiukweli lazima haki itendeke wote tuisome nambaMngeeleza vizuri mkisema zao zimeachwa je waliobomolewa inamana wao wapo bado na wa pande zote zao wamebomolewa.
Muwe mnapiga na picha basi ili nao waisome namba ipasavyo mkileta habari zenu.