Bomoabomoa yapitia nyumba ya mama Anna Mkapa

Bomoabomoa yapitia nyumba ya mama Anna Mkapa

Ishu ni kuchukua mashamba ya Sumaye kwa kisingizio cha pori na kuyaacha ya akina Mkapa, Kikwete, Mwinyi and the like; na mengine ya wana CCM ambayo ni mapori vile vile. Kumwonea kwa vile yuko upinzania.
Umemsikia Lukuvi jana? Zoezi linaendelea na huenda hao uliowataja wakafikiwa pia!
 
Kama JPM anavunja sheria, ajue kuwa akija Rais mwingine atavunja sheria vile vile bila kujali kuwa rais hashitakiwi, atavunja sheria hiyo!

Umeambiwa hiyo sheria ni ya mwaka 2007. Sasa JPM anavunja sheria au anatekeleza sheria? Kwanini msiwalaumu ambao hawakutekeleza sheria. Acheni kulialia hovyohovyo.
 
Mkapa ‘among victims’ of demolition exercise

c60773aa49334e7077adcf2ebed6266a.jpg




A house believed to belong to former Presidential Mzee Benjamin Mkapa wife, Anna located at Mbezi Kibanda cha Mkaa in Dar es Salaam is among the houses that are set to be demolished to pave expansion of modem Morogoro road. PHOTO|SAID KHAMIS

Dar es Salaam. A house believed to belong to former President Benjamin Mkapa’s wife, Anna, will be demolished to allow expansion of the Morogoro Road.

The former First Lady’s house will be among thousands of the houses that are set to be demolished, the exercise that will affect over 10,000 people.

Apart from the house, a portion of a five-hectare land, which is said to be owned by Mr Mkapa, will be repossessed.

This was revealed by the chairman of Mji Mpya Street, Mr Daniel Majige, when he spoke to The Citizen in an exclusive interview.

According to Mr Majige there have been complaints from some of wananchi that the piece of land has stayed idle for a long time.

Mr Majige said on behalf of the Mji Mpya residents that he reported the complaints to Ubungo district council.

He said “I have already reported this (complaint) to the land department at the Ubungo municipal council, but nothing has so far been done.”

The Citizen visited the house believed to belong to the former First Lady and a woman who was found there confirmed that it was Ms Mkapa’s house.

“I am a relative of Ms Mkapa, but I have nothing more to speak about this. If you want more details, you should contact her,” said the woman.

Another resident, whose house has been marked for demolition, Mr James Shirenda (70) complained about the government’s decision to increase the road reserve area from 60 metres to 120 metres.

“We should be compensated because, when we bought the land, the road reserve was 60 metres, but the government doubled it to 120 metres,” said Mr Shirenda.

Meanwhile, the coordinator of demolition victims, Ephraim Kinyafu said the agency failed to conduct demolition exercise yesterday due to inclement weather.

About 200 houses have been disconnected from power by the Tanzania Electric Supplying Company Limited (Tanesco) to pave the way for demolition.

Source:mwananchi






Mungu Ni Mwema
 
What if He has 20 of those! will it matter for just one to be demolished? I think its wise for you to be looking for solution rather that celebrating!!
 
Mtoa mada ulikaa chini na kufikiri kabla huja post uzi wako!!?

Hiyo nyumba uliyoonyesha ktk picha na huyo mtu uliyemtaja uhusiano ni mdogo sana.
Na hata kama ni yake yani ni kama vile wewe uchote maji baharini kwa kikombe alafu useme kina cha bahari kimepungua.

Think twice mkuu.

Wapo wanaoumia na kuisoma hiyo namba lkn sio kama hao..
Any way poleni watu wa Dar
 
Huyo pengine ana maeneo mengi ya kutosha na fidia kapewa, kwa hiyo msijilinganishe nae
 
Nimejitahidi kuitazama hiyo nyumba ila sikuiona, nimeona gate ambalo halina thamani ya kuitwa nyumba ya huyu mmama. Fedha liyo nayo sidhani ka anaijua hii nyumba
 
hivi mama anna mkapa umlinganishe na mlala hoi wa kimara hebu acheni ujinga huyo na mumewe walishapiga hela hana shida kabisa
 
Mbona wameandika ni mke wa rais wa awamu ya nne. Inamaana JK alirithi?
 
Mtoa mada ulikaa chini na kufikiri kabla huja post uzi wako!!?
Hiyo nyumba uliyoonyesha ktk picha na huyo mtu uliyemtaja uhusiano ni mdogo sana.
Na hata kama ni yake yani ni kama vile wewe uchote maji baharini kwa kikombe alafu useme kina cha bahari kimepungua.
Think twice mkuu.
Wapo wanaoumia na kuisoma hiyo namba lkn sio kama hao..
Any way poleni watu wa Dar
Usiwe kama nyumbu mkuu!!!! Nimeleta taarifa kama ilivyoripotiwa na gazeti la Mwananchi fullstop!
 
Ishu ni kuchukua mashamba ya Sumaye kwa kisingizio cha pori na kuyaacha ya akina Mkapa, Kikwete, Mwinyi and the like; na mengine ya wana CCM ambayo ni mapori vile vile. Kumwonea kwa vile yuko upinzania.
Mkuu yeye sumaye kwa mdomo wake bila kushawishiwa na mtu yeyote aliwaambia wafanyabishara kwamba wakitaka mambo yao yaende vizuri wanatakiwa kuweka bendera ya ccm kwenye biashara zao.
Mkuu kinyume cha agizo hilo ni nini?

Kwa hiyo walipokwenda kwenye mashamba yake walazikosa bendera za ccm.....
Ni kilio, serikali inatekeleza agizo la sumaye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom