Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Dah! Iyo familia naijua vizuri kilichoandikwa ni ukweli mtu maeneo ya kimara bekari inasikitisha zaidi ya kusikitisha jamani alafu hiyo nyumba ipo mbali sana na bara bara zaidi ya mita 90 inashangaza barabara kufika huko nashindwa kuielewa hii sarikali jamani ivii hawa viongozi wanajiskiaje kufanya uwonevu wa hali ya juu kwa wananchi wake? Nawakumbusha tu cheo ni thamana ipo siku isiyo na jina utaulizwa juu ya watu uliyowaongoza tujaribu kuwa na utu wa kibinadamu izi sheria tunazitunga wenyewe lakini muda mwingi tuwe na utu hii dunia tunapita tu
Oih hyo familia ya Kawa ni wale wahaya wanakaa kijitonyama karibu na Africa Sana, huyo mama ni mjane.
Siwezi kuwataja watoto wake ila ana mmoja wa kiume mnene mweusi jina lake linaanziwa na M....huyo jamaa ana mdogo wake wa kike kaolewa juzi kati hapa na mchagga ana watoto wawili now...her name linaanziwa na P.
Kama ni hao nawajua. Duuh its soo sad.