Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Dah! Iyo familia naijua vizuri kilichoandikwa ni ukweli mtu maeneo ya kimara bekari inasikitisha zaidi ya kusikitisha jamani alafu hiyo nyumba ipo mbali sana na bara bara zaidi ya mita 90 inashangaza barabara kufika huko nashindwa kuielewa hii sarikali jamani ivii hawa viongozi wanajiskiaje kufanya uwonevu wa hali ya juu kwa wananchi wake? Nawakumbusha tu cheo ni thamana ipo siku isiyo na jina utaulizwa juu ya watu uliyowaongoza tujaribu kuwa na utu wa kibinadamu izi sheria tunazitunga wenyewe lakini muda mwingi tuwe na utu hii dunia tunapita tu
 
Mkuu unaijua kweli nyumba yenye thamani ya tsh 1B?. Nawapa pole sana. Kubomolewa nyumba kunauma sana.
 
ndugu yangu umesoma vizuri hadi mwisho?

ni kwamba hao waliowekeza hizo nyumba za bilioni moja walikuwa wanamiliki hilo eneo tangu mwaka 92.na lilipimwa na likaonekana lipo umbali wa zaidi ya mita 60..

sheria zamani inasema mtu anaruhusiwa kujenga umbali wa mita 60.

sasa hivi wametangaza bomobomoa kwa umbali wa mita 120..yani mara mbili ya ule uhalali wa mita 60.

watu wanajiuliza imekuwaje sheria imepitishwaje..iweje ibadilike ghafla?
basi labda kuna fidia..hakuna.

Huu si uonevu??
Imagine ungekuwa wewe?

***** Magufuli na viongozi wako!

Tunataka haki itendeke.
 
ndugu yangu umesoma vizuri hadi mwisho?
ni kwamba hao waliowekeza hizo nyumba za bilioni moja walikuwa wanamiliki hilo eneo tangu mwaka 92.na lilipimwa na likaonekana lipo umbali wa zaidi ya mita 60..
sheria zamani inasema mtu anaruhusiwa kujenga umbali wa mita 60.
sasa hivi wametangaza bomobomoa kwa umbali wa mita 120..yani mara mbili ya ule uhalali wa mita 60.
watu wanajiuliza imekuwaje sheria imepitishwaje..iweje ibadilike ghafla?
basi labda kuna fidia..hakuna.
huu si uonevu??
imagine ungekuwa wewe?

***** magufuli na viongozi wako!

tunataka haki itendeke.
Ivi hujawajua watu wahumu ndugu yangu wengi hawajielewi jitu linatoa mchango wa mawazo pasipo kusoma kilichoandikwa au anaweza kusoma lakini hafinyi uchambuzi wa kile alichokisoma hata dk mbili tu matokeo yake anaandika vitu visivyo na kichwa wala miguu alafu anajiita msomi inauzunisha
 
mihemko tu inawaemdesha..
wanaudhi
 
Sheria za hifadhi ya barabara zinabadilishwa kila uchwao, kila aliye madarakani huwa anataja la kwake...

Wapo wanaotaja 15m, 60m, 120m, 130m etc
Aisee,
Najiuliza wakati wanajenga hawakujua kama ni mita 120??
Au walijua ila wakajiambia kua pengine hizo mita 120 ni za zamani kuna mpya zaidi ambazo wako safe??
 
Bomoabomoa yaikumba nyumba ya Sh 1b/= Mwananchi

Pole waliofikiwa na majanga dada, ila serikali iliyopita nayo ya kulaumiwa, mtu mpaka anajenga mamlaka zilikuwa wapi?!

Pia wachukuwa mkopo wa kujenga nyumba bila kuwa na Title Deed dada hiyo akili ya wapi?!

Kuna mmoja yupo BunjuB, yeye nafikiri yaweza fika hata 1.5b/=! Ni kubwa nzuri mno, tatizo kajenga kwenye mkondo wa maji, ardhi walimvunjia mara kadhaa yeye yumo tu, uzuzu mwingine huku bunjub kuna viwanja vya 30m/--40m/-, lakini huyu bwana wala hakujali kununua hivyo, siku ardhi wakija huyu bwana lazima ajiuwe tu.

SIO SIRI WATANZANIA HATUPENDI FUATA SHERIA BILA SHURUTI. Tutasingizia tuko pale toka miaka ya 60 au 70, lakini bado tunasahau KWANINI TUKIONA SEHEMU WAZI LAZIMA TUJENGE AU TULIME TU?! Kuna ubaya gani ukienda wilayani au ardhi upate viwanja halali na Title Deed juu?!
Inashingaza sana hii tabia....
 
Uchungu tunauweka katika sanduku la kura
Hata wakiiba lakini kura yako itakua kama laana kwao itawatafuna kuanzia wao hadi kizazi chao chote kiishe.

What goes around always comes around
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Hayajakukuta wewe ...endelea kuweka miguu au umekunja nne huku unaandika comments zako hizo
aisifuye mvua imemnyea.

What goes around always comes around
 
Back
Top Bottom