Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Wakati mnajenga barabarani mlihisi mpo juu ya sheria?Hayo ndo matokeo mkubali maisha yaendelee.
 
Acha serikali itekeleze wajibu wake.
Serikali ya wanyonge
 
Na uku morogoro bomoa bomoa imeanza
 
nasubiri jengo la Tanesco ubungo
Lile lazima liondoke ndugu kuna flyover pale na ujenzi umeshaanza kwahiyo litaporomoshwa tu,umeshasahau alitaka kulishusha alupokuwa waziri wa ujenzi,kukatokea sintofahamu ubomoaji ukasimama!!Lakini pia ukumbuke upanuzi huu ulianzia tokea maeneo ya Magomeni mapipa na nina uhakika watu walishakuwa na taarifa juu ya huu upanuzi wa barabara,nacho ona hapo ni kuwa watu walikuwa wanajipa moyo kuwa inaweza kuwa ni hadithi.

Sony Z3
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.

Hv ccm ndo inakufanya uwe mjinga na mnyama kiasi hichi shame on you
 
Kama hii habari yote ni ya ukweli kabla hawajajenga walijua umbali ulikuwa mita 60 na wao walitelekeza. Kama serikali ikaja ikabadili ingefaa walipwe kwa sababu halikuwa ko sa lao. Unless wajue ila waamue tu kufanya hivyo hivyo. Swala la kubomolewa nyumba lisikie tu.maana kama hela ni ya kudunduliza kujenga kunachukua miaka mpaka umalize. Mtu unaweza ukafa kwa kihoro.na kipindi hiki hela ngumu
 
Aisee,
Najiuliza wakati wanajenga hawakujua kama ni mita 120??
Au walijua ila wakajiambia kua pengine hizo mita 120 ni za zamani kuna mpya zaidi ambazo wako safe??
Zamani ilikua mita 60

love thé love or hâte thé love.....
 
mie najua 60 kushoto 60 kulia jumla 120 sasa hiyo ya 120 kushoto na 120 kulia hiyo siijui tafadhali nisaidieni pia kuna kibanda najenga sehemu isije ikanikuta
Kama kanuni (sheria zinazotungwa na waziri wa wizara husika. JPM wakati huo i.e 2009) hazijabadilishwa basi SOMA HAPA kujiridhisha.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-08-02-14-28-49.png
    Screenshot_2017-08-02-14-28-49.png
    352.9 KB · Views: 45
  • Screenshot_2017-08-02-14-31-56.png
    Screenshot_2017-08-02-14-31-56.png
    244.2 KB · Views: 32
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
muwe na ubinadamu nyie. Siyo kila sheria unaifuata bila kuangalia athari kwa umma.
 
Back
Top Bottom