mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
unasema hivyo kwa sababu bado unaish kwa shemeji,ujui uchungu wa ujenziSheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.