Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

Waendelee na kesi, hata huyu asipolipa maana ni kiburi, ubabe, maonevu etc, huko mbele zitalipwa na watakaofuata ingawa watafaidi warithi!
 
mie najua 60 kushoto 60 kulia jumla 120 sasa hiyo ya 120 kushoto na 120 kulia hiyo siijui tafadhali nisaidieni pia kuna kibanda najenga sehemu isije ikanikuta
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Hujui utendalo.....labda kwa kuwa jina lako linafanana na utendacho. "Do yu think law is retrospective??"
 
Soma ulichokiandika kisha rudi tena kukomenti.
Ok,
Namaanisha miaka hiyo wakati wanajenga walielewa lakini kua ile barabara reserve yake ni mita 120 kila upande??
Au walielewa hiyo mita 120 ni total hivyo wakaigawa na kupata 60 kila upande??
Au ilikua ni mita 60 kila upande kisha baadae ikaja kubadilika??
 
Ndio maana nikakwambia soma uelewe usikurupuke.

Rudi mwanzo ukasome thread upya.
 
Unakurupuka vibaya sana Ndugu,
Unadhani hawa wawili watatu waliohojiwa hapa ndio watakua wanawakilisha mawazo ya wahanga wote waliobakia. Hivyo unategemea mada iliyoletwa hapa ndio ina majibu yote ya maswali niliyoyauliza, pole sana aisee
 
Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.

Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.

Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Umesoma post yote kweli mkuu?? maana ulichoandika hapa kimejibiwa kwenye post!!
 
mwaka 2016 ulikuwa mbaya..lakini huu mbaya zaidi....sipati picha 2018 itakuwaje.
Kama ulisomaga hesabu za SEQUENCE AND SERIES basi ya mwaka ujao 2018 yanaweza kutabirika kwa kuangalia hapa nilipo-bold.
 
Back
Top Bottom