Soma vizuri hiyo taarifa! Hajaanza kujenga leo au Jana, ni Uwekezaji wa tangu Miaka ya 1990s! Na kumbuka Ardhi ina appreciate in value, kama uliinunua Shilingi 50,000/ mwaka 2000 usitegemee thamani yake ikawa the same as this date 2017! Fungua Akili!Mimi sielewi kwa nini kubomolewa nyumba ya 1b imekuwa ishu hapa. Huyu kama ameweza kujenga nyumba ya thamani hiyo hawezi kukosa mahala pa kuishi. Kwangu mimi zile nyumba ambazo zimechakaa na wananchi wake hawana uwezo wa kuzikarabati na wanaishia kubomolewa ndio ishu. Wanachi hawa wataishia kulala nje hivyo kuwakosesha hitaji muhimu la binadamu kulingana na azimio la arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app