Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

Kwani Mange kasemaje?halafu mbona aliekufa?
 
Kwanu kkkt pia wapo eneo la reli
 
Tulioko Dodoma kuanzia jana tunashuhudia BOMOA BOMOA ya majengo eneo linalomilikiwa na reli
Bar ya Capetown
Kituo cha mabasi
Sheli ya total
Stendi ya mkoa
Nk
 
Duuh!!!

Shabiby atakuwa anaugulia kimyakimya.
 
Huyu bwana kila sehemu anabomoa bomoa tu. Naanza kupata mashaka naye, isije ikawa kama mashariki ya kati, inabomolewa kwa vita na USA then kuijenga upya yanapewa tenda za ujenzi makampuni USA. Tusishangae kampuni ya Mayanga ikala tenda za hatari.. Nimewaza tu, the teh teh!!!!!!!
 
kama wamvunja sheria na taratibu na kuvamia maeneo ya reli na barabara hakuna jinsi wapishe tu.
 
Afisa wa Rahco hata kiswahilo kina mpa shida lahco leli
 
kuna ghorofa Fulani kwa chini kulikuwa na maliwato ya kulipia na lenyewe wamelibomoa?
 
Safi sana wabomoe kabisa hadi jengo la bungr maana halika kazib tena. Kila mtanzania makini anamuunga mkono na mguu mtukufu raisi wetu
 
Kanisa, Jamatini, General Hospital sijuii. Heee! kumbe nawaza kwa sauti mnisamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…