Bomoabomoa TAZARA muda huu, ambulance nazo zipo

Bomoabomoa TAZARA muda huu, ambulance nazo zipo

Tunamkumbuka yule mdhaifu, huyu jamaa huruma hana kabisa.Jina la tingatinga limemvimbisha kichwa mno.Ni sifa tuuh anapenda.Makufuri ni sawa Donald trump Wa marekani, wote hawana akili timamu.
 
Hatujinyongi hatunywi sumu ccm mbele kwa mbele acha waisome Namba haa ccm mbele kwa mbele wamechagua wenyewe chaguo lao milele wacha waisome Namba ccm mbele kwa mbele x2
Chagadema at its best
 
ImageUploadedByJamiiForums1452769776.077389.jpg
 
Toba yarabi nyumba ya rafiki yangu hussen mpiga picha imebomolewa kama kweli ni maeneo hayo

Dar! jamani mwaka huu tumeuanza vibaya tuwaombee kwani inasikitisha kwa kweli suala hili ni balaa! ukibomolewa nyumba fikilia jinsi ulivyodunduliza pesa na kujenga baada ya kutoka kupanga Yarabi toba!
 
Acha wabomoe,mji wa dar uko hovyohovyo sana...kip it ap magufuri
 
Hivi lile katazo la Serikali la kusimamisha Bomoabomoa Tazara haliwahusu?
 
CCM NI NAPE.....NAPE NA CCM NI KITU KIMOJA.
AKILI ZINAFANANA.....HII NI SERIKALI YA CCM AU YA MAGUFULI?MBONA HAINA UMAKINI WA PHd HOLDER?
 
Tanzania tulikosea kutokuwa makini kwenye kusimamia na kuzuia ujenzi holela.

Leo tuseme asilimia kubwa nchi nzima wanaishi kwenye makazi ambayo hayo hayajapimwa.
 
Mbona nilisikia bomoabomoa imesitishwa isipokua bonde la mto msimbazi?
 
Tanzania tulikosea kutokuwa makini kwenye kusimamia na kuzuia ujenzi holela.

Leo tuseme asilimia kubwa nchi nzima wanaishi kwenye makazi ambayo hayo hayajapimwa.

Umeongea ki utu uzima sana mkuu, sasa unambomolea mtu nyumba sasa hivi, hiyo master plan yenyewe ndio kwanza wamesema itatolewa June 2016. Ina maana unaweza kununua kiwanja sasa hivi na bado kikawa kwenye eneo lisiloruhusiwa kwa makazi.

Upimaji wa viwanja na mipango miji ilitakiwa viwe miongoni mwa vipaumbele vya nchi. Mbaya zaidi, hata huko ambako hakuna makazi sasa hivi, bado ujenzi holela usiozingatia mpangilio unaendelea na serikali ipo kimya.
 
Back
Top Bottom