Bomoabomoa imenikuta

Bomoabomoa imenikuta

Waliojenga sehemu zisizoruhusiwa wanaadhibiwa kwa kubomolewa, sawa. Je watumishi wa serikali wa sehemu husika walioachia ujenzi huu uendelee na sehemu nyingine kutoa vibali wanaadhibiwa?
 
Pole mkuu nikajua ndo wastara maana naye kalalamika nyumba zake mbili zimepigwa X
 
Hilu neno mipanga miji nibjina tu la watu fulani kula hela .hawa mioango miji wapo zamani mbona mji huu haokupangika mipango yao mingi watakuonesga kwenye nakaratasi .kweli wabayo mingi ila hatatekelezeki maana wao ndio wavunjaji wa kuu wa sheria
 
Ndo ivo yani,walitutesa sana wana ukawa,saiv sie tuliiii,
Tuko tuliii kweli kweli. Wanaisomaje namba!!!!!! Walidhani wanatuimbia kumbe wataisoma wao namba. Ha ha ha!!!!! Raha tupu wana ukawa!!!!
 
Ndugu zangu Watanzania,
Katika hili zoezi la BOMOA BOMOA limegubikwa na mambo mengi sana ikiwemo Uzembe na Ufedhuli wa baadhi ya watumishi wa UMMA kwa kukosa weledi wa kazi na kutekeleza majukumu yao.
Tutailaumu Serikali weeee mpaka mwisho, lakini hizi sheria za matumizi ya ardhi zilikuwepo tokea mwaka 1949.
Ina maana inachofanya serikali ya awamu ya 5 ni UTEKELEZAJI wa sheria zilizopo.

Nina uhakika asilimia ya Watanzania wengi wanalalamika humu hawajasoma DAR ES SALAAM MASTERPLAN Review Draft Final Report.
Tafuteni hiyo kitu na muisome kwa makini, itawasaidia Watanzania wengi kuelewa nini azma ya Serikali juu ya matumizi bora ya ardhi na Hilo zoezi la BOMOA BOMOA linaloendelea.
Ndugu zangu Watanzania tujenge utamaduni wa kupenda kujisomea na kufanya utafiti kabla ya kuanza kulalamika.

Mh Rais Dr J.P Magufuli wakati wa kampeni zake alisema na alisisitiza yeye ni mpenda HAKI na KUFUATA SHERIA. Na ndicho kinachofanyika sasa hivi Tanzania chini ya Uongozi wake. Ila kwa kuwa asilimia kubwa ya sisi WATANZANIA tumezoea kuishi kwa ujanja ujanja na magumashi mengi ndio maana tunamuona KAVU.

Wewe Kama ulienda kununua kiwanja sehemu ya Bonde, sehemu ya wazi, sehemu isiyo ya makazi kupitia watumishi wa umma wasio waadilifu Ina maana JIPU NAMBA MOJA NI WEWE. TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Last edited:

Naipataje hio masterplan mkuu?umeelezea vzur
 
Tunataka kuona na ofisi za ccm zilizo jengwa kwenye maeneo ya wazi nazo zikivunjwa.Hapa kazi tu
 
pole sana mkuu, but mambo haya natamani watu wayasikie tu
 
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoabomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio!
Kwa kusoma kichwa cha hii mada "Bomoa bomoa Imenikuta" nikajua Nyumba zenu zimeshabomolewa tayari! Lakini baada ya kuzama ndani ya mada nakuta umeandika "Nyumba zetu mbili za familia zote Kuvunjwa" hapo ina maana kitendo cha kuvunjiwa Nyumba zenu bado hakijafanyika,ila pole sana Mkuu.
 
Asante.. Ila nyumba ikiwekwa x kinachofata ni kubomolewa au mkuu ulitaka ikishavunjwa ndio nipost? Hata wale waliokimbilia mahakani ingekuwa wewe ungewaambia si bado hazijavunjwa
 
mkuu nyumba kuwekwa X ni process na Ikishavunjwa ni Action taken,so mtu akisoma kichwa cha mada anajua umeshavunjiwa tayari coz umesema bomoabomoa "imenikuta" (Action taken) kama ungesema bomoa bomoa "kunikuta" ingekuwa binafsi ningeelewa bado ni (Process) anyway narudia tena kukupa pole Sana in advance coz nyumba bado haijavunjwa

Pamoja sana mkuu nakuombea Isivunjwe na Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom