kilichofanyika 2015,ndicho hicho kitafanyika 2020./2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.
Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.
Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .
Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).
Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
umenena mkuu,,,taratibu na sheria zina nafasi kubwa kuliko huruma.Kama ishu ni kukosa kura basi wacha ikose ila sheria lazima zifuatwe. Kama hutofuata kwa hiyari basi utafuta kwa kulazimishwa.
Mkuu apo Monalisa kuna nini kwani...tupe hata kapicha na sisi wa mikoani tupate kujua kulikoni mpaka umpe shikamoo magu pakibomolewa.
Wale MONALISA ni WAHUNI pale palikuwa na Kiwanja cha Mpira na njia ya kwenda KEKO TOROLI waroho wa manispaa ya Tmk wamemuingiza chaka mchina wakibomoa pale ntatoa shikamoo kwa Magufuli
punguza ubaguzi,,,,,,sisi watu weusi tumebaguliwa basi kuonyesha si ni watofauti tusibague wengine,,ova. Hao watu weusi unaowaongelea wanakutawala na wata watawala hadi vizazi vyako. Kichwa maji wewe.
Hivi umeona alichoandika huyo mzenji? Hili ndio jibu alilostahili.punguza ubaguzi,,,,,,sisi watu weusi tumebaguliwa basi kuonyesha si ni watofauti tusibague wengine,,ova
Hata ile petrol station na bar pembeni mwa DDC Keko vinavyotazamana na Monalisa pia ni viwanja vya wazi nakumbuka zamani tulikuwa tukicheza mpira maeneo yale sijapita kule mitaa ya nyuma ya DDC miaka mingi kujua kama na lile eneo la wazi la mabembeani bado lipo wazi????!
Nona wewe ni mwenyeji mno keko, vp yule mzee kachimbe ubungo tupo?,napakumbuka miaka ya 70 mpaka 80, kekoilikuwa imenyooka, nikaja kupita hapo last year nilihuzunika, nakumbuka tikipita ile changombe road asubuhi ilikuwa kimya watu wakijiendea viwandani, na ile Gloria bakery naona imesha kufa pale keko magurumbasi, kulikuwa na bobby soap factory nayo imebaki mifupa huko ilikoKwa kweli hali ni ngumu,lakini hawa mipango miji na halmashauri hazikuanzisha kipindi Pombe anashika madaraka zilikuwepo kabla,hazikufanya kazi yake ipasavyo,watu wanajijengea mabondeni hasa huko keko miaka ya tisini hakuna aliye wazuia,kuna maeneo mazuri kule keko ambayo kama yangepimwa mwanzoni leo hii tusingeshuhudia mlundikano wa nyumba zilezokaa kiajabuajabu.Ila ningependa hao watu wa halmashauri wachunguze kwa umakini ile ofisi ya Takukuru karibu na Maghorofa ya Jeshi kama kile kiwanja kipo kihalali maana kilivyonyakuliwa na nyuma yake ndio mfereji unapita pale
Nona wewe ni mwenyeji mno keko, vp yule mzee kachimbe ubungo tupo?,napakumbuka miaka ya 70 mpaka 80, kekoilikuwa imenyooka, nikaja kupita hapo last year nilihuzunika, nakumbuka tikipita ile changombe road asubuhi ilikuwa kimya watu wakijiendea viwandani, na ile Gloria bakery naona imesha kufa pale keko magurumbasi, kulikuwa na bobby soap factory nayo imebaki mifupa huko iliko
bich boy kk pale au balawa itakuw poa pakirud enzzzzWale MONALISA ni WAHUNI pale palikuwa na Kiwanja cha Mpira na njia ya kwenda KEKO TOROLI waroho wa manispaa ya Tmk wamemuingiza chaka mchina wakibomoa pale ntatoa shikamoo kwa Magufuli
Hata ile petrol station na bar pembeni mwa DDC Keko vinavyotazamana na Monalisa pia ni viwanja vya wazi nakumbuka zamani tulikuwa tukicheza mpira maeneo yale sijapita kule mitaa ya nyuma ya DDC miaka mingi kujua kama na lile eneo la wazi la mabembeani bado lipo wazi????!