Hiyo katiba ya warioba katika sakata la bomoabomoa inakusaidia nn wakati ile ilikuwa ya serikali tatu na ile ilikuwa ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye rais wake hamiliki ardhi…!!Mkuu hili li nchi dawa yake ni katiba tu! Pombe atupatie ile katiba ya Warioba!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums