Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Nimempigia simu amenusurika bhana, daah anasema kila nyumba ilibandikiwa tangazo... Duuh hadi monalisa?? Shkamoo magufuli

Wale MONALISA ni WAHUNI pale palikuwa na Kiwanja cha Mpira na njia ya kwenda KEKO TOROLI waroho wa manispaa ya Tmk wamemuingiza chaka mchina wakibomoa pale ntatoa shikamoo kwa Magufuli
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Si mlisema magufuli anatekeleza ilani ya chadema sasa malalamiko ya nini? Nyumbu kabisa nyie
 
tena nyny ni wepesi wa kusahau zaid ya kuku, sikutarajia kwa ishu ile ya escrow kama watanganyka mungeirejesha ccm madarakani, duh nyny ni wanafiki sijapata kuona

Ndugu yangu huku Tanganyika kuna waPUUZI wakutosha sana huku Nyimbo na Fulana tosha tu wanawapigia KURA pumbav
 
Pale Keko Juu kuna Guest Moja ya Mzee Otto
Sijui kama itapona na Nyumbani kwa Familia ya akina Matumla,Rashid,Mbwana, Mkwanda na Baba yao.
Bila Kumsahau Mzee Makago, Mganga wa Kienyeji.
Kwa upande wa Keko Mwanga ndio itakuwa Balaa
Mkuu guest ya mzee Otto kama ni Yagga guest house imeliwa kwa upande wa nyuma,hata twiga inn nayo imejengwa kwenye barabara na kipande kingine kimeingia kwenye uwanja wa mpira (kwa mujibu wa ramani ya mipango miji)
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Hili zoezi linafanywa kwa kukurupuka sana. Wananchi wanajazwa hofu na mashaka bila sababu ya msingi....
 
Mkuu guest ya mzee Otto kama ni Yagga guest house imeliwa kwa upande wa nyuma,hata twiga inn nayo imejengwa kwenye barabara na kipande kingine kimeingia kwenye uwanja wa mpira (kwa mujibu wa ramani ya mipango miji)
Ndio Mkuu
Yagga Guest house
Vp kwa akina Matumla,Maana wale wako almost Bondeni kabisa
 
Ndio Mkuu
Yagga Guest house
Vp kwa akina Matumla,Maana wale wako almost Bondeni kabisa
Kwa kina matumla majanga mkuu, hakuna namna greda lazima litapita, hakuna namna...naambiwa greda litashukia kwenye kilima cha magereza pale so matumla watakuwa ni watu wa mwanzo mwanzo kuliwa
 
Vipi toroli ??? Pale sio mabondeni ila ujenzi wa hizo nyumba moto ukiwaka sijui itakuaje
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .

Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).

Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Duh.Tandale na uswahili wote ule haimo katika bomoabomoa..
 
Wabomoe tuu, maana hakuna namna tumezoea kuishi bila kufata taratibu, majanga yakitokea tunaanza kulilia serikali, ila naomba zoezi hili liende sambamba na kutimua viongozi waliozembea ili haki itendeke kotekote.

Tena eneo lililopo chini ya maliasili wabomoe tuu maana vibaka wa keko wakishapora mataa wanazamia pale kingine eneo la keko bondeni Hapafai hata kidogo hilo eneo mvua ikinyesha ndipo utaona madhara ake ni hatarii tupu.
 
Ngoja nianze kutafuta nauli yakurudi kijijini .
 
Upinzani nchini ulikufa siku CDM anauziwa Lowasa!! Watz ni bora kuendelea kuwapa CCM kuliko kuwapa mawakala wa UFISADI
 
Wale MONALISA ni WAHUNI pale palikuwa na Kiwanja cha Mpira na njia ya kwenda KEKO TOROLI waroho wa manispaa ya Tmk wamemuingiza chaka mchina wakibomoa pale ntatoa shikamoo kwa Magufuli
Mkuu apo Monalisa kuna nini kwani...tupe hata kapicha na sisi wa mikoani tupate kujua kulikoni mpaka umpe shikamoo magu pakibomolewa.
 
Nasikia Wamepewa tender ya kutumbuiza siku za ubomoaji!!
Kwakuwa wao maisha ya posho na kujipendekeza kwao ni aheri, watafanya tu bila kujua wanajikomoa wenyewe...

Kwani si hata ile nyimbo walikuwa wanazungusha viuno kuimba wakijua watakaosoma namba ni wa upande mmoja tu..

Walisahau hata yule baba yao Marehemu kapteni alikufa kwa presha za mademu ya CRDB na hao CCM walikuwa wanamwacha aisome tu..
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.

Kaka chini ya katiba hii na NEC ya kina Lubuva,watapita tu hata kama wananchi wakionyesha hasira zao kwenye boksi la kura,chakufanya mapeema sisi tusiokubaliana na chama tawala tuanze kudai mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi..other wise 2020 tuta-fail tena.
 
Back
Top Bottom