Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Duh kuna demu wangu anakaa maeneo hayo ngoja nimblock mapemaa maana ataanza mizinga ya haja
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Hivi vituko wamafanya Dar tu. Kwani watu wa chini ndio waloikataa na kuchagua wabunge wa ukawa
 
MASWALI YANGU NI:-
1.KASI YA BOMOA BOMOA INATUONGEZEA AU KUYPUNGUZA UMASKINI?
2.KUNA HAJA GANI YA KUSHIKILIA HILI SWALA LA BOMOA BOMOA KANA KWAMBA NDIO SERA AU ILA YA CHAMA?
3. MAISHA YAMEPANDA NA TUNAITAJI MAISHA YABORESHWE KWANZA NA SI BOMOA BOMOA SIZIZO NA MSINGI
4.HII NI SIASA KWANI WATU WA DAR WENGI NI UPINZANI....KIUKWELI.
5.WAKAWABOMOLEE WATU WA MIGODINI WANACHUKUA MADINI YA NCHI HII KWA WIZI.
6. KAMA WALE PALE JANGWANI, OFISI ZA UDART HAZIBOMOLEWI KWA KISINGIZIO CHA MITARO ILIYOCHIMBWA ITASAIDIA MAJI KUTOTWA BASI SEREKALI ICHIMBE MITARO HIYO KWA KUWALINDA WANANCHI WAKE AU HAIJUI MAJUKUMU YAKE?
NB:
DUNIA SI TAMBARARE HIVYO HAKUNA NCHI ISIYO NA MABONDE AMBAPO WANANCHI WAKE HUISHI UIKO....MFANO KENYA KUNA RIFT VALLEY NA WATU WENGI HUISHI HUKO INSPITE OF ALL DISASTER??????!!!!
7.SEREKALI YA CCM ITUAMBIE NINI KIKO NYUMA YA HAYA NA SIO KUENDEKEZA VITU VISIVYOTUMIA LOGICS!!!!!!!
8. HIVYO NDIO VIWANDA NCHI NZIMA???!!!!!!!!!

Umemaliza eeeeh!!! Wasalimie milembe
 
8. HIVYO NDIO VIWANDA NCHI NZIMA???!!!!!!!!![
Kiukweli watu wenye hali duni ni muhimu kuwajali na kuwasamini pia.ukiangalia vitu vitatu vikuu kwa kila mwanadamu ni Chakula,malazi na mavazi!
 
Hakuna namna kwa kweli, manufaaa ya zoezi hili mtayaona baadae, sasa hivi ni uso wa mbuzi tu mwanzo mwisho
 
Asilimia 90 ya wale waimbaji wa TOT (Wacha wasiome namba) ni wakazi wa huko Keko....
Mkuu Magufuli mwenyewe alishasema "tutabomoa za wanaccm, tutabomoa za wanaukawa, tunabomoa za cuf, tutabomoa bila kujali mtu iliradi ipo eneo lisilostahili"
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .

Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).

Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Du nijiandae kuwapokea ndugu zangu kutoka Keko asee itata mwe!
 
Ina maana bomoa bomoa ni kwa wakazi wa dar peke yao? Je mikoani hatuhusiki?

Kwa nini watu wa dar wanapewa upendeleo hivi, kila kitu wao wa kwanza,kipindupindu wao,dengue wao, sasa bomoa bomoa.

Jamani hata huku mikoani bamoa bomoa tunaihitaji, isiwe kwa upendeleo kaa watu wadar pekee.

Bomoa bomoa we miss you huku mikoani, please msitusahau mikoani jamani, wote tupate mgao sawa, isiishie dar peke yake, tukumbukwe na sisi wa mikoani.
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Watanzania ni Kuku ni bongo la wasahaulifu. Wabomolewe tu tena wakati wa kubomolewa waweke na ule wimbo wa CCM mbele kwa mbele, mmeipenda wenyewe
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Hakuna watu wasahaulifu kama watanzania kumbuka hilo
 
Wahanga watalia leo lakini watoto wa kesho watanufaika ...hakuna namna nyingine JPM go go....
 
upumbavu gani sasa wanaowafanyia lakini?Huu mpango wa kubomoa wanao kitambo sasa wangetoa notisi hata mwezi kabla ili mtu ajipange pa kwenda na ikiwezekana abomoe mwenyewe atoe vitu vyake vya muhimu?
sasa notisi wamebendika jana tr 2 inamaana wanawapa siku mbili tu? sio fair!!!
ukishajua unaishi bondeni,JITUMBUE,usingoje notisi
 
Lyimo chogo na rashid matumla hawa ni wahanga wa kiwango cha juu mno , lakini mzee igogo hayupo bondeni , labda kama alijenga kwenye kiwanja cha wazi , bali kuna tetesi kwamba monalisa mpya inayotazamana na DDC itakwenda na maji .
Pale monalisa mpya kulikuwa na mizani zamani magari yalikuwa yanakuja kupima uzito,sasa sijui ikawaje nikaona watu wameshauziana mali ya serikali kiaina na kununua baadhi ya majirani.Ila nae Mzee wa "Bekari"pale alipojenga kituo cha mafuta nakumbuka kilikuwa kiwanja cha wazi na tulishacheza mpira kipindi cha nyuma sijui itakuwaje hatma yake!
 
Kwa kweli hali ni ngumu,lakini hawa mipango miji na halmashauri hazikuanzisha kipindi Pombe anashika madaraka zilikuwepo kabla,hazikufanya kazi yake ipasavyo,watu wanajijengea mabondeni hasa huko keko miaka ya tisini hakuna aliye wazuia,kuna maeneo mazuri kule keko ambayo kama yangepimwa mwanzoni leo hii tusingeshuhudia mlundikano wa nyumba zilezokaa kiajabuajabu.Ila ningependa hao watu wa halmashauri wachunguze kwa umakini ile ofisi ya Takukuru karibu na Maghorofa ya Jeshi kama kile kiwanja kipo kihalali maana kilivyonyakuliwa na nyuma yake ndio mfereji unapita pale
 
Back
Top Bottom