Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Kwa hiyo unakiri kuwa CCM walishinda na Lowassa akubali matokeo hakuibiwa kura.
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .

MASWALI YANGU NI:-
1.KASI YA BOMOA BOMOA INATUONGEZEA AU KUYPUNGUZA UMASKINI?
2.KUNA HAJA GANI YA KUSHIKILIA HILI SWALA LA BOMOA BOMOA KANA KWAMBA NDIO SERA AU ILA YA CHAMA?
3. MAISHA YAMEPANDA NA TUNAITAJI MAISHA YABORESHWE KWANZA NA SI BOMOA BOMOA SIZIZO NA MSINGI
4.HII NI SIASA KWANI WATU WA DAR WENGI NI UPINZANI....KIUKWELI.
5.WAKAWABOMOLEE WATU WA MIGODINI WANACHUKUA MADINI YA NCHI HII KWA WIZI.
6. KAMA WALE PALE JANGWANI, OFISI ZA UDART HAZIBOMOLEWI KWA KISINGIZIO CHA MITARO ILIYOCHIMBWA ITASAIDIA MAJI KUTOTWA BASI SEREKALI ICHIMBE MITARO HIYO KWA KUWALINDA WANANCHI WAKE AU HAIJUI MAJUKUMU YAKE?
NB:
DUNIA SI TAMBARARE HIVYO HAKUNA NCHI ISIYO NA MABONDE AMBAPO WANANCHI WAKE HUISHI UIKO....MFANO KENYA KUNA RIFT VALLEY NA WATU WENGI HUISHI HUKO INSPITE OF ALL DISASTER??????!!!!
7.SEREKALI YA CCM ITUAMBIE NINI KIKO NYUMA YA HAYA NA SIO KUENDEKEZA VITU VISIVYOTUMIA LOGICS!!!!!!!
8. HIVYO NDIO VIWANDA NCHI NZIMA???!!!!!!!!!
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Miaka yote si huwa kuna imani hiyo mkuu lakini haiwi?
 
Hivi kwani kipaumbele cha huyu ndugu ilikuwa ni kubomoa nyumba? Mbona hakuweka wazi ili kuepuka shari? Any way tuliwaambia na bado tunawaambia!

Good night!!!
 
Unalalamika wewe na wana ukawa wenzako wa bara. Mpe salamu zangu Maalim...mwaka huu CCM lazima hii mshike kidevu.
ukitaka kupruv kama mtu mweusi hana akili basi watanganyika ni ushahid tosha
 
Ila nanyi mjiandae kwa gharama ya kutoka madarakani maana mtatumbuliwa majibu yenu "makubwamakubwa" tena bila huruma mmoja baada ya mwingine.
Bila katiba ya Warioba na tume huru ya uchaguzi....maana ndio stori zenu za UKAWA. Bila hivyo vitu hapo mtaitoa CCM? Maana hamueleweki sasa...kila muda mnazuka na mapya...hivi UKAWA ni vichaa? Si mmesema wenyewe bila hivyo vitu hapo CCM itatawala milele...sasa hayo mawazo ya kuitoa CCM umeyatoa wapi!?

Hivi kuna kipindi wananchi waliichukia CCM zaidi ya wakati wa utawala wa JK...mbona CCM imeshinda kwa kishindo?
 
. Hao watu weusi unaowaongelea wanakutawala na wata watawala hadi vizazi vyako. Kichwa maji wewe.
mtanganyka yuleyule aliefunga barabara kumsindikiza lowasa kuchukua fomu kwa kuchukizwa na utawala wa ccm ndiye yuleyule aliekuja kupiga push up kushangilia ushind wa magufuli, sasa izo ni akili au tope?
 
tena nyny ni wepesi wa kusahau zaid ya kuku, sikutarajia kwa ishu ile ya escrow kama watanganyka mungeirejesha ccm madarakani, duh nyny ni wanafiki sijapata kuona
mnafiki kuliko nyie mlimtukana mzee wa watu kila aina tusi , anzia mbowe, mnyika, slaa, lisu , msigwa ghafla akabadilika kuwa malaika
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Bonde la kisiwani bar liko rafu sana, ila kuna familia lukuki na ni shortcut ya kutokezea keko Magurumbasi .
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Acha hizo kura yenyewe hukuwapigia!
 
mtanganyka yuleyule aliefunga barabara kumsindikiza lowasa kuchukua fomu kwa kuchukizwa na utawala wa ccm ndiye yuleyule aliekuja kupiga push up kushangilia ushind wa magufuli, sasa izo ni akili au tope?
Bora huyo kuliko mpemba anaemfuata Maalim kama Mungu mtu bila hata kuhoji. Watu bara wanataka maendeleo sio siasa kali sizo kuwa na tija. Hivi hata mnajua mnataka nini au sera yenu ni maalim Tu..
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.

Pole sana ndga kwa watanzania hawa utaishia kuhesabu Miaka tu...Uchaguzi wa Mwaka wa Jana umedhihiridha uBONGO LALA wa waTZ
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wanaobomoa nyumba zao kabla ya tarehe 5 january , hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona )
wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la keko , keko mwanga , keko machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama mchomba line , wakazi wa keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .

Pale Keko Juu kuna Guest Moja ya Mzee Otto
Sijui kama itapona na Nyumbani kwa Familia ya akina Matumla,Rashid,Mbwana, Mkwanda na Baba yao.
Bila Kumsahau Mzee Makago, Mganga wa Kienyeji.
Kwa upande wa Keko Mwanga ndio itakuwa Balaa
 
Habari Mbaya Hii Watu Wanarudi Vijijini Kwa Lazima
 
Back
Top Bottom