ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,869
- 3,260
Mabembeani kupo open mkuu upo wap sasa ivii
Mkuu, by now nilidhani upo aware na mfumo wa kitawala wa viongozi africa2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.
Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.
Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Magufuli anatuoneaMaelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .
Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).
Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Hata ile petrol station na bar pembeni mwa DDC Keko vinavyotazamana na Monalisa pia ni viwanja vya wazi nakumbuka zamani tulikuwa tukicheza mpira maeneo yale sijapita kule mitaa ya nyuma ya DDC miaka mingi kujua kama na lile eneo la wazi la mabembeani bado lipo wazi????!
Ha ha haaa.....pale ilikuwa Open space...sasa Mchina Katia Hela nyingi kajenga maGODOWN yakuuzia TILES....nikipita huko leo nitatwanga Picha
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.
Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.
Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
mkuu me naona sawa tu wabomoe wanafanya vizuri sanaa ana akili alieona hilo2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.
Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.
Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.
Wako wengi kweli si uongoHa ha ha ha lile bonde lina wanyakyusa wengi hatari.Kama nawaona kilio kitakacholipuka huko.
Zaidi ya 50% ya wakazi wa keko ni wanyakyusa wa tukuyu na kyela , jiandae kweli .Du nijiandae kuwapokea ndugu zangu kutoka Keko asee itata mwe!
Baada ya uchaguzi kwisha yule mwarabu mwenye bakery amewauzia watu wengine kile kituo cha mafuta na hivi sasa wanakikarabati upya , inasemekana ni wachina .Pale monalisa mpya kulikuwa na mizani zamani magari yalikuwa yanakuja kupima uzito,sasa sijui ikawaje nikaona watu wameshauziana mali ya serikali kiaina na kununua baadhi ya majirani.Ila nae Mzee wa "Bekari"pale alipojenga kituo cha mafuta nakumbuka kilikuwa kiwanja cha wazi na tulishacheza mpira kipindi cha nyuma sijui itakuwaje hatma yake!
Hapo ndiyo sehemu ya kulia unga hivi sasa , ni free zone hakuna polisi anagusa pale , kamari zote unazozijua ziko pale , bangi zote zinazolimwa africa zinapatikana , japo ya malawi ndiyo inayosifiwa sana .Mabembeani kupo open mkuu upo wap sasa ivii
hahaha sikweliKuna taarifa kwamba matangazo yalibandikwa kwa style ya alqaeda ( yote yalibandikwa kwa dakika moja tu ) na wabandikaji kutoka nduki mshale una nafuu !
Mkuu nachota kuuliza ni vipaumbele vya jpm ilikuwa kubomoa au kujega viwanda kila sehemu kutoa elimu bure million 50 kila Kijiji sasa kinachoendelea sasa hiv mm sielewi ndo ivo viwanda na maisha bora huu ndo utetezi Wa wanyonge kwan uboreshe hapa wakati tz nikubwa ajabu jenga mji Wa mfano uko mikoan then watu watafata hizo Huduma utakuwa umepunguza watu mjini na utaweza Fanya unavyotaka sasa kama watu unawabolea pia awana kazi sasa wataishije??? Kama sio kuwauwa kwa presha au ndo creat new world oder