Upana wa barabara hii hubadirika kuanzia mwanzo wake hadi mwisho wake. Haupo constant. Hiyo ni kwa mujibu wa sheria zilizopo.Nilijua hii argument itakuja na ndio hapo utakapoona makengeza kwenye maamuzi
Kwangu mie nafahamu fidia ilishatolewa tangu enzi za mwinyi na mkapa kuanzia jangwani hadi kibamba kwa UPANA WA MAXIMUM MITA 60. Hilo la mita 120 ni geni masikioni.
Maeneo ya Jangwani hadi ubungo walilipwa kwa miya 30.