Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Mzee wa kukomoa.
What if wamepewa hati na kabla ya kujenga ramani imepitishwa na halmashauri na kila awamu ya ujenzi imekuwa approvedMkuu hapa ndo tunakosea. Sheria ipo ifuatwe.
Serikali haina wajibu wa kukukataza wewe kujenga au kutojenga. Ni jukumu lako kujiridhisha kama sheria husika imefuatwa. Huwezi ukajenga ..halafu kesho unauliza eti serikali ilikuwa wapi kipindi najenga. It is your fault. Na nimeona wengi wakiumia kwa approach hii.
Kawa wasemavyo wanasheria. Ignorance of the law is no defence.
Tanzania Kupata Fidia Iliyo Kamilika Ni swala Gumu SanaIla tu niseme kwamba kuna roho za uharibifu zimetajwa mpaka kwenye misahafu, hili ni pepo baya sana ....daima halitengenezi bali linaharibu na likitengeneza kitu hakitakosa kuwa na walakini mkubwa.... Hiyo ndio roho ya uharibifu ilivyo
Tunahitaji kuwa na barabara pana eneo husika Lakini hekima na utu vitawale watu walipwe fidia waondoke kwa amani ubabe hautatufikisha popote
Naamini watakuwa wamekuelewa sana.Juzi jamaa yangu nyumba zake zilibomolewa hapo hapo Kibamba. Alikuwa amepata NSSF yake akaamua awe mjasiriamali kwa kuanzisha biashara. Zote zilifyekwa.
WaTanzania tuna asili ya ku-ignore sheria especially pale ambapo hazitekelezwi (nakumbuka jamaa yangu nilimwambia kabisa..Mkuu hebu angalia sheria inasemaje kuweka hela yako ya maana sehemu kama hii-it might be road reserve. Alichonijibu ni kwamba..mipango ya serikali ni ya mda mrefu kwa hiyo barabara watajenga ila siyo leo wala kesho). The rest is history.
Mfano DSM watu wenye hela zao na influence..wamejenga almost baharini kabisa. na vibali (vingi vya figisu) wanavyo. Lakini sheria za kimataifa na za Tanzania ziko wazi. Ufukwe wa Bahari mpaka sehemu ya ujenzi/maendeleo ni mita 60! Sasa kama wengi tunavyojua wanaoishi baharini ni wenye nazo. Lakini kesho Magufuli au mwingine akiamka akasema wote walio ndani ya mita 60 wabomoe nyumba zao..utaona vilio na kudai fidia. Lakini hiyo sheria iko kwenye vitabu miaka na miaka. Ni mambo mengi ambayo tunafanya bila kuzingatia sheria. Refer: Mama Lwakatare kujenga baharini Mbezi beach , Matias Manga wa Arusha kujenga Hotel ya Kimataifa barabarani nk sehemu ambazo haziruhusiwi. Lakini kwa vile tunaweza kuwahonga wanaotoa vibali we do it knowing kwamba hatutasumbuliwa.
Serikali ina mapungufu yake na sometimes inatumia ubabe. Lakini lazima tujue DSM ya leo siyo dsm ya miaka 50 au 100 ijayo. Lazima tupange mipango tukifikiria vizazi na vizazi vijavyo. Imagine mtu aliye-plan mita 60 miaka hiyo DSM haina hata wakazi laki tano! But they did that with an eye on the future. waliopanga leo hawapo. na wala hata huo uwezo wa kujenga barabara hawakuwa nao kipindi hicho.
In all: Katika nchi yoyote ukitaka kuishi vizuri na salama, jifunze kuheshimu na kufuata sheria. Utafanikiwa. WaTanzania wengi hatuheshimu sheria ndo maana mambo yetu yanakwenda hovyo hovyo. Kila kitu tunaweka siasa au kutaka huruma za hiyo hiyo sheria!
'Nimesema bomoa na hakuna fidia,mie ndio rais na kwetu Chato'Alipokuwa waziri wa miundombinu alidhibitiwa na PM na raisi, sasa hakuna wa kumdhibiti, anajiona ana nguvu sana na akili nyingi
Kama wapo wa aina hiyo ni wachache sana, jinsi tunavyofanya mambo yetu ni hovyo hovyo tu. Nyumba zinajengwa kama uyoga na ukifuatilia kwa undani hakuna hata mwenye kibali cha ujenzi. Ukiuziwa eneo, kesho unaanza msingi hata kujisumbua kidogo kuona mamlaka za eneo husika hatufanyi!! Tuna tatizo kubwa sana, na tutazidi kulalamika kila sikuWhat if wamepewa hati na kabla ya kujenga ramani imepitishwa na halmashauri na kila awamu ya ujenzi imekuwa approved
Mkuu ukipita Morogoro road kuanzia ubungo to kibamba utaona mapango makubwa yaliyopo pale kimara yanayoonyesha eneo la barabara.Pili wenye akili zao hawajajenga barabarani ndo maana huoni nyumba nzuri sana barabaraniJuzi jamaa yangu nyumba zake zilibomolewa hapo hapo Kibamba. Alikuwa amepata NSSF yake akaamua awe mjasiriamali kwa kuanzisha biashara. Zote zilifyekwa.
WaTanzania tuna asili ya ku-ignore sheria especially pale ambapo hazitekelezwi (nakumbuka jamaa yangu nilimwambia kabisa..Mkuu hebu angalia sheria inasemaje kuweka hela yako ya maana sehemu kama hii-it might be road reserve. Alichonijibu ni kwamba..mipango ya serikali ni ya mda mrefu kwa hiyo barabara watajenga ila siyo leo wala kesho). The rest is history.
Mfano DSM watu wenye hela zao na influence..wamejenga almost baharini kabisa. na vibali (vingi vya figisu) wanavyo. Lakini sheria za kimataifa na za Tanzania ziko wazi. Ufukwe wa Bahari mpaka sehemu ya ujenzi/maendeleo ni mita 60! Sasa kama wengi tunavyojua wanaoishi baharini ni wenye nazo. Lakini kesho Magufuli au mwingine akiamka akasema wote walio ndani ya mita 60 wabomoe nyumba zao..utaona vilio na kudai fidia. Lakini hiyo sheria iko kwenye vitabu miaka na miaka. Ni mambo mengi ambayo tunafanya bila kuzingatia sheria. Refer: Mama Lwakatare kujenga baharini Mbezi beach , Matias Manga wa Arusha kujenga Hotel ya Kimataifa barabarani nk sehemu ambazo haziruhusiwi. Lakini kwa vile tunaweza kuwahonga wanaotoa vibali we do it knowing kwamba hatutasumbuliwa.
Serikali ina mapungufu yake na sometimes inatumia ubabe. Lakini lazima tujue DSM ya leo siyo dsm ya miaka 50 au 100 ijayo. Lazima tupange mipango tukifikiria vizazi na vizazi vijavyo. Imagine mtu aliye-plan mita 60 miaka hiyo DSM haina hata wakazi laki tano! But they did that with an eye on the future. waliopanga leo hawapo. na wala hata huo uwezo wa kujenga barabara hawakuwa nao kipindi hicho.
In all: Katika nchi yoyote ukitaka kuishi vizuri na salama, jifunze kuheshimu na kufuata sheria. Utafanikiwa. WaTanzania wengi hatuheshimu sheria ndo maana mambo yetu yanakwenda hovyo hovyo. Kila kitu tunaweka siasa au kutaka huruma za hiyo hiyo sheria!
What if wamepewa hati na kabla ya kujenga ramani imepitishwa na halmashauri na kila awamu ya ujenzi imekuwa approved
Masanja matatizo yote haya yanakuja sababu ya upole wa serikali zilizo pita.nyumba za enzi hizo zingevinjwa leo watu wangeogoa kujenga ndani ya hifadhi ya barabara.Mkuu nakubaliana na wewe ila umekuwa mkali sana.....hahahaha
Ni kweli wengi walipewa viwanja eneo la mbweni kunaitwa ubungo majiLakini nakumbuka wote waliojenga barabara ya Morogoro road walilipwa miaka mingi iliyopita fidia yao.
Hao wanaodai sasa wamejenga baada ya malipo kufanyika na ramani ipo mamlaka husika kwa ushahidi.
Uwezekano wa kulipwa fidia unaweza kuwa mdogo sana kwa wenye nyumba unless otherwise
Kiasili ni pale Karibu na bandarini kwenye makutano na kilwa road
mshana jr unaweza kutubainishia mwanzo wa barabara ya morogoro?