Hakuna aliyepokea fidiaWAKUU HIVI MNAFKIRI SERIKALI INAKURUPUKA AU
HUSUSA WIZARA YA MIUNDOMBINU,,,
Hakuna Action ikafanyika bila taarifa kutoka kwa president kutoa saini
SASA HAPO WIZARA HIO MAGU MIAKA25
Doohh hao wacha kuzimia hata walale kabxaaaa
Mbona walivopokea FIDIA HAWAKUZIMIA au walijua ni bado utawala wa mkwere mpoooooole eeenhhh
Hakuna aliyepokea fidia
sijui, labda bikon za mwaka 1932 maana ndio sheria magu kaifufuaHAKUNA SHERIA YA KUVUNJA BILA YA KUWEKEWA BIKON KABLA YA
KITAFATA KUPIGWA "x"
Baada ya hapo ndio ACTION INAANZA
MKUU FATILIA HILO SWALA HURNDA WENZIO WALISHAVUTA FIDIA KIMYAAA KIMYAAA
Basi jiji la Dar libadilishwe kuwa la miundo mbinu kuishi kupigwe marufukuAcheni miundo mbinu na Barabara vijengwe kwa gharama yoyote ile. Hatay lijapo suala la ulinzi wa taifa au vita, kuna wote hupoteza viungo au maisha hats katika hili acha iwe hivyo. Tumechoka kuwa watalii wa miundo mbinu na mipango miji kwenye nchi za watu .
Hamia Dodoma kwa nini mnagangania Dar na kujijengea hovyo hata vyoo hamana mnabanana na kunyea kwenye Rambo, MTU anataka kuwarekebisha mnaleta songiKubomoa nyumba zilizojengwa kwenye road reserve sio vibaya ila kunapaswa kuwe na busara.
Kwanini kusiwe na countdown period? Kama ni miezi mitatu, kila siku/week wahusika waambiwe bado siku/wiki kadhaa mpaka ikibaki week moja kuwe na taarifa za daily za gari la matangazo kuwa tarehe fulani tutabomoa usipobomoa ili watu wajiandae.
Sioni kama kuna busara kuwavamia na kuanza kubomoa alfajiri hivi.
Busara itumike kwa kuwa nyumba hizo zilijengwa serikali ikiona na sio ajabu hata wao serikali ndio waliopitisha baadhi ya hati za ujenzi/michoro.
Serikali iwe na huruma na watu wake.
Mkuu ni upana wa uwanja wa ndege nini?Barabara ya mita 200(viwanja viwili vya mpira kwa urefu wa goli mpaka goli)??
Duuh, zaidi ya viwanja viwili vya Moira!!!!120m kutoka katikati ya Barabara, kwa hiyo barabara na reserve yale itakuwa na 240m
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu120m kutoka katikati ya Barabara, kwa hiyo barabara na reserve yale itakuwa na 240m
Tunawadai accasia mrabahaHivi tunahela kweli za kujenga barabara za upana huo??
Rostam AzizJana nimesoma sehemu kuwa lile Jengo la Tanesco pale Ubungo linalotegemewa nalo kupigwa Nyundo si Mali ya Tanesco Mwenye kujua zaid anijuze
June ya mwaka gn?Mpaka June atae baki mjini mwanaume..
Ya kwako itabomolewa?Acheni miundo mbinu na Barabara vijengwe kwa gharama yoyote ile. Hatay lijapo suala la ulinzi wa taifa au vita, kuna wote hupoteza viungo au maisha hats katika hili acha iwe hivyo. Tumechoka kuwa watalii wa miundo mbinu na mipango miji kwenye nchi za watu .
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu
Labda wanajenga airport after all hiyo barabara inaanzia hapo kimara?mi nilijua jam ipo katikati ya jiji kumbe ni kimara mpaka kibahaMkuu ni upana wa uwanja wa ndege nini?
Ok! Kama ni ya more than two lanes!! Mi nilifikiri Ni kama hii ya huku kwetu LemaraKaka huamini?, mwanzo kabisa ilikuwa mita 60, na ndio alama za mwanzo zilipokuwepo so watu waliokuwa nje ya mita 60 walikuwa safe, sasa iliyotangazwa ni mita 120 unapima kutoka katikati ya Barabara kwenda upande mmoja na kisha upande wa pili ni mita hizohizo
Ofcourse kwa highway yenye njia sita mpaka nane na reserve ni sawa, kwa sababu kwa barabara sita za upana wa say 10m zinakuwa ni mita 60, so kila upande unabakia na reserve ya 60m
All in all sio kitu kibaya kupanua Barabara, lakini watu walipwe stahiki zao kadiri ya thamani ya rasilimali walizoziwekeza katika hayo maeneo kama hiyo vunjavunja inawakuta kwenye maeneo ambayo hayakuwa na plan ya hiyo barabara hapo awali