Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,583
Wale wanaokaa pembezoni mwa barabara kuanzia Ubungo mpaka Kimara mjiandae na bomoabomoa sio maneno yangu.
Jana vijana kadhaa wa TANROADS walipita mitaani na kuanza kupima pima zikiwemo nyumba za watu ukubwa na kujua kuna RM ngapi.
Katika mawasiliano kulikoni wakafunguka bomoabomoa inakuja
Wanalipa awalipi sijui zaidi