Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

Ni muda gani mtu anastahili alipwe toka tathimini imefanywa carter?

Baada ya tathmin ndo malipo yanafuata..na hela walizipokea iwe ndogo au nyingi tayari wamepokea na kwakupokea ndo tayar wamekubali kuondoka hapo. Sasa ndo maana unaona ambao hawakuzipokea hizo ndogo wamepata nyingi. Ndo bahati yao hao waliochukua hizo chache mapema na ukute washazitumia ndo balaa lake...narudia kusema wangeondoka mapema wasingepata haya
 
ok ndio maana nikauliza kwanini ulipokea??kama unaona haitoshi unagoma kama hao waliogoma wakalipwa 300m...lkn sio unapokea hela then baadae unagoma kuhama unasema hela ndogo baada ya kuimaliza....kama hela ndogo usipokee weka pingamizi mahakamani

Ndo yamewakuta sasa.....
 
Baada ya tathmin ndo malipo yanafuata..na hela walizipokea iwe ndogo au nyingi tayari wamepokea na kwakupokea ndo tayar wamekubali kuondoka hapo. Sasa ndo maana unaona ambao hawakuzipokea hizo ndogo wamepata nyingi. Ndo bahati yao hao waliochukua hizo chache mapema na ukute washazitumia ndo balaa lake...narudia kusema wangeondoka mapema wasingepata haya

Ndo yamewakuta......ni mambo yakusikitisha sana.
 
Jamani tuishie kuona kwenye picha tu,ila kubomolewa NYUMBA INAUMA SANA,,,,,BORA UBOMOE MWENYEWE KWA AJILI YA KUIKARABATI,,,,ILA MBONA ILE YA MCHUNGAJI WA MIKOCHENI B HAIVUNJWI???
 
Jamani tuishie kuona kwenye picha tu,ila kubomolewa NYUMBA INAUMA SANA,,,,,BORA UBOMOE MWENYEWE KWA AJILI YA KUIKARABATI,,,,ILA MBONA ILE YA MCHUNGAJI WA MIKOCHENI B HAIVUNJWI???

Yani pale ndo napoona usawa hakuna....na ile waivunje tuu!!!!!
 
inatia huruma sana nchi ambayo haithamini watu wake Tanzania inaongoza

Hawa wakazi walikwisha pewa fidia. wenyewe hawataki kuondoka. sasa unataka serikali iwafanye nini? Hii ndio dawa yao. tunataka maendeleo. tumechoka siasa. wavunjevunje kila kitu.

Haki imetendeka au ni ule uonevu wa serikali kila kunapo kucha hivi kweli inawezekana m2 utangaze leo na kesho ubomoe?
 
Kuna mgongano wa maamuzi serikalini alichoongea Mkuu wa mkoa na aliichoongea Waziri wa makazi vilikuwa vitu viwili tofauti
 
Polen wa kurasini hii ndo serikali yangu mm naww 2015,kuwa makini hakikisha haukosei,,,,,,,,,,,,,,,,
 
mambo ya Njango na this time tomorrow! si kitu lahisi nyumba uliyoijenga kwa uchungu kubomolewa ukiwa unaona! where shall I be this time tomorrow!
 
Unapokea Cheque halafu kuhama hutaki sababu mwanaharakati fulani kwakuambia usiondoke mpaka uongezewe nyingine!!!!
 
Viongozi mwogopeni mungu haya mnayowafayia wananchi hayapendezi.Nendeni mkawakalie itikafu mungu atajibu dua zenu.Watafuteni watu wenye takwa wawafanyie kazi.Nichoshwa na hili na linaumiza.Wambieni wakajenge viwanda vyao nje ya mji kuondoa msongamano wa magari mjini.Hili litawagharimu,itafika wakati mtakufa kama kuku,uchawi upo japokuwa mnakataa nyie mwogopeni mungu,hawa wazee ndio waliomwondoa mkoloni ili nyie muingie ofisini kwa nia ya kuwatesa,mtakufa vinywa wazi.Ipo siku yatatimia ibeni kura lakini yana mwisho.Tupeni usugu
 
Back
Top Bottom