Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

Bomoa bomoa imeanza Kurasini Matankini

Wanapozungumza wakazi hao wanasema ya kuwa pesa walizolipwa zilikuwa chini ya kiwango. Kuna mama mmoja alisikika akisema alilipwa shilingi milioni 27, na hajapewa kiwanja. Maana yake ni kwamba katika hiyo milioni 27 anunue kiwanja na ajenge nyumba ya kuishi yeye na familia yake. Halafu wiki iliyopita wakapewa siku saba wawe wamehama, wakati huenda hata hiyo milioni 27 wameshaitumia hata kama si yote kwa matumizi mengine. Kweli kama sio kuwapa watu ufukara wa kudumu ni nini?

Ama kweli maisha bora kwa kila mtanzania tunayaona. Naona ccm imeamua kama alivyosema Pinda, Liwalo na Liwe!


2013-leo Bomoa Bomoa nyingine je malalamiko haya yamezingatiwa?
 
Back
Top Bottom