Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Kuna zile Mpya mkuu zenye choo ndani ...hizo ambazo hawawashi Ac ni za zamani (daraja la kawaida)
Mimi nimetoka arusha juzi tu na nikasafiri na hilo lenye choo kwenda na kurudi,nililoenda nalo lilikuwa AC yake inefanya kazi nililorudi nalo AC wamesema ni mbovu mkuu
 
Mimi nimetoka arusha juzi tu na nikasafiri na hilo lenye choo kwenda na kurudi,nililoenda nalo lilikuwa AC yake inefanya kazi nililorudi nalo AC wamesema ni mbovu mkuu
Duuh!! Kampuni isipoangalia itakuwa Kama dar express ambayo now ni ya kawaida sana. Ukiangalia kuna zinazokuja kwa spidi ya 4g Kama tahmeed,ratco,shabiby,modern cost,happy nation,dar lux.....
Coz naskia saa nyingine vyoo vyao havitumiki eti vibovu! Sasa hii ya Ac nayo duuh ukiangalia ni daraja la juu.
Lakini Kilimanjaro express kwenye maswala ya USAFI wanajitahidi SANA aisee..hawana mpinzani kwa hilo
 
Mkuu inawezekana wewe kupanda ndege ni anasa, huwezi kulinganisha hata ndege yenye pangaboi moja pale mbele na basi la aina yoyote. Ndege ni Ndege na Basi ni Basi.....
Hayo ni mawazo Yako mkuu..nayaheshimu.
 
Mimi nimetoka arusha juzi tu na nikasafiri na hilo lenye choo kwenda na kurudi,nililoenda nalo lilikuwa AC yake inefanya kazi nililorudi nalo AC wamesema ni mbovu mkuu
Moshi dar na mimi pia nilipia luxury na AC wakasema mbovu... Waliniudhi sipandi tena
 
Ukipanda basi au ndege ...KWANI HUFIKI UNAPOKWENDA?--
jibu---UNAFIKA UNAPOKWENDA
Then Naangalia JE NI CHOMBO KIPI KATI YA HIYO NDEGE(alafu ndege yenyewe ni bombardier masikini!!) AU BASI AMBAPO NIKISAFIRI NARIDHIKA NA ROHO YANGU(luxury I mean)...
Hapo jibu linakuja NI BASI tena la YUTONG!(amaizing). Ambalo nikipanda nafurahi na roho yangu ...hahahaaa
LETE HOJA MKUU ...karibu
 
Priorities zinaendana na kipato...hatubishani, lakini usilinganishe ndege na basi!! Linganisha Marcopolo na yutong Mkuu...
 
Kama ndege yenyewe ni bombadier basi bora hata buffalo au ngorika.
Tuko na different mind set...naomba niishie Hapa, wengine wataendelea...

Hata hiyo bombardier huijui unaleta ushabiki kwa sababu ya baadhi ya comments za wadau humu...
 
Tuko na different mind set...naomba niishie Hapa, wengine wataendelea...

Hata hiyo bombardier huijui unaleta ushabiki kwa sababu ya baadhi ya comments za wadau humu...
Bombadier hamna kitu mule!!!!!
Mbona huelewi!!!
Hata KIMBINYIKO inaizidi.

Bombadier (stone age) labda uipambanishe na KIPENGULE au THE BIG MAYAI sio haya ya 5th G
 
Hata ingekuwa ni caravan... Ndege itabaki kuwa ndege..
Hatujabisha undege wa Bombardier, bali tunasema hamna kitu mule, kama unaenda tunduru we panda "LEO" AMMIT, na kama waenda masasi panda "BUTI LA ZUNGU" au panda malory ya dangote utaunganisha mbele kwa mbele.
 
Priorities zinaendana na kipato...hatubishani, lakini usilinganishe ndege na basi!! Linganisha Marcopolo na yutong Mkuu...
Mkuu, Akili yako ipo Hivi;
Wewe ni mlimbukeni kidogo(samahani kama neno litakuchoma)
Mfano Twende katika sekta ya mawasiliano..
Hapa kuna vitu vingiii vinavyoweza kufanikisha mawasiliano(simu.
lakini kuna simu za aina nyingi sana mkuu
Makampuni kama
-samsung
-iPhone
-Motorola
-Nexus
-one plus one
-Nokia
-Huawei
-High tech computer (HTC)
-Sony
-blackberry
-Microsoft
-Philips
-Xiaomi HAYA NI MAKAMPUNI MAKUBWA KABISA YA SIMU ULIMWENGUNI


LAKINI HAPAHAPA KUNA MAKAMPUNI KAMA
-Tecno
-xytel
-Viwa
-itel
-duro
-startime
-Dorado
-lenovo
-dell
-xiaumi
-Alcatel
Na nyingine nyigiiiiii ...
HIZI NI KAMPUNI NDOGO KABISA ZA SIMU AMBAPO WANAFANYA KUTAG SOKO(mfano tecno hawa wameweka nguvu zao nyingi katika nchi kama Nigeria,Ethiopia,kenya,uganda,na Tanzania ..

SASA MKUU AKILI YAKO IPO HIVI ;
Nikisema nifananishe kati ya simu ya TECNO (j8) mfano na simu ya IPHONE (iphone4)
Hapo utaniona mshamba eti kuifananisha simu Kama iPhone 4 na tecno j8 ....TATIZO unakuwa unaweka imani kwamba kitu Kama IPhone hakiwezi kushindanishwa na Tecno (japo mawasiliano unapata) na vitu vingine vingi ...HUU NI USHAMBA
Ukiangalia
Tecno j8.imempita iphone4 kila kitu!! Si kamera,ram,space,baterry capacity and so on

POINT YANGU ...SIKUFANANISHA NDEGE NA BASI ILA NILIFANANISHA BOMBARDIER NA BASI(yutong)

Iphone4 na tecno boom j8. This is ridiculous !!
Utaidharau tecno j8 kutokana na ukubwa wa brand ya iPhone (bila ku judge ni iphone ipi? 4,5,6,7 au 7+)?

Karibu mkuu
 
Bado unazidi kujichanganya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…