Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

Tena mumshukuru Mungu,hio propeller huwa inaangusha gari,kwa 80% propeller ikichomoka lzm gari lipige chini
 
Umeona Ndege Ndo Ya Kupanda Bure Eti Umepewa Ofa Ukaona Haitoshi Unalinganisha Eti Na Mabus Huu Ni Wehu Na Dharau Za Kijinga.
Nakupa 25% kwa kujaribu kutetea hoja yako ...
Alafu mkuu,Punguza ushamba basii ..ndege ni kitu cha kawaida Sana (tena hii bombardier).
Nikushauri kitu mkuu;
USHAMBA MBAYA SANA,PUNGUZA USHAMBA.
 
Acha uboya!,vyombo vya usafiri visivyofanana?..
Acha uboya!,vyombo vya usafiri vinavyofanana?
BOMBA DIA .............,..............YUTONG BUS
-chombo cha usafiri. , chombo cha usafiri
-inapita angani. , -nchi kavu
-ina siti 2/2. , -ina siti 2/1
-ina makelele mengi. , -haina kelele
(Kama una presha
Hupandi)
- toilet inside. , -toilet inside also.
-haina tv mpaka
Kwenye siti. , - TV kila siti
-Nauli kubwa. , -Nauli ya kawaida
-kama ww ni bonge. , -wanaweza wakakaa
Inabidi ulipie siti2 mabonge hata wawili
(Siti zimebanana). Kwenye siti moja

LETE TOFAUTI ZAKO NA WEWE MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…