Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

That is not my concern..the key issue here is why are we not ready to accept the truth that Bombardier Q400 ni kimeo? Hizi ni ndege zinazotengenezwa special for irrigation purpose and not kubeba abiria.
Prove
 
Unafikiri kwanin mbowe asipo lipa Kodi inakuwa big story ??? hata hao wengine hawalipi lkn ,vyombo vya habari vipo kimya ...
Unaniuliza mi mambo ya mbowe mi mama yake?
 
siku hii ndege ikipotea angani au kuanguka kuna wajinga watachinja kuku na kupika pilau...
Naona sasa mmeanza kuelewa kuwa wapi tulikosea!
Swali langu ni hili "hizi ndege zilinunuliwa zikiwa mpya au mtumba?

Isije ikawa kama ile meli yetu pendwa MV Bagamoyo[emoji1] Hakika tumeingizwa chaka la miba.
 
Please..hata kama unamchukia Magufuli! For heaven sake..wanaozitumia ni waTanzania wenzako. Sio kila kitu ni siasa za chuki. Unadhani wakipoteza maisha wewe utafaidika nini? au ulitaka hizi ndege zisinunuliwe?? au ulitaka zinunuliwe vipi kusudi zikidhi vigezo vyako?

Kutofautiana kisiasa kitu cha kawaida..ila sasa maoni yako yamejengwa kwenye taswira ya chuki iliyopitiliza dhidi ya Magufuli.

Hivi what exactly do you want him to do?

Otherwise jipange uwa-convince waTanzania kwamba Magufuli hafai in 2020. But for now, just get used to this guy. He is the President. Mengine ni porojo tuu.
Halafu wa tz acheni mambo ya kijinga ndege zimenunuliwa mbovu halafu mnataka tujipe matumaini kwa lipi hasa! Baba yenu kachemka na simalayake ya kwanza kuchemka
cc@mv bagamoyo
 
Kuna kila sababu kusitisha mbio za mwenge Tanzania lile zindiko ndilo linalotufanya tuwe mamburula kwa kila kitu.
 
That is not my concern..the key issue here is why are we not ready to accept the truth that Bombardier Q400 ni kimeo? Hizi ni ndege zinazotengenezwa special for irrigation purpose and not kubeba abiria.
Na hivyo viti humo ndan n vyann? Au vyakuwekea majag na ndoo za kumwagilia???
 
Ndio maana mklu anaviogopa, yale mapanga yatamtoa roho endapo atavijaribu siku moja..
 
Ajali zipo za treni, gari, meli, hata ndege. Kwa nini za tzania inakuwa issue kubwa?
 
Kitwanga alitoa angalizo wakasema anaona wivu kwakua alitumbuliwa. Baba jesca ni mbishi sana na hapo mengi yataonekana
Unataka kujinasibu kwamba ni Tanzania pekee yenye ndege aina hii? Au mazuri mnakuwa mnayakalia kimya likitokea baya chembe mnaanza kunyanyua vinywa vyenu kipumbavu
 
Ya irrigation haitakiwi kuwa salama? Je, hizo za Irrigation hazitumii marubani au zinatumia robot na kama ni binaadam yeye haijalishi usalama wake? Think outside the box my boss.
Unajua tofauti ya matumizi ya "outside" na " out of"
 
Kwa upumbavu huo usitake kujilinganisha na nchi nyingine. Ukishaambiwa hakuna nchi ambayo hulipa cash hata nchi Tajiri za ulaya hazifanyi hivyo ila hayo utayaona kwa baba jeaca tuu. Hilo nalo kweli ni jambo lakupongeza? Boti imelipiwa pesa na haijaweza kuhudumia wananchi hilo nalo lipongezwe kweli? Baba jesca anaweza akamaliza hii nchi. Chato kule amempa mjomba wake tenda kuuubwa zakutoa kwenye kampuni kama inter au conoike. Hilo nalo tupongeze kweli?
 
Kwakuwa ziko mbili ndio maana tuna tujua tatizo lolote dogo,zingekuwa 8 simnapewa nyingine na ile yenyr hitilafu inakuwa service. Kwa vyombo vya mito hitilafu nijambo lakawida,muhimu nikujua kabla yakwenda kuuwa watu
 
Kidogo kidogo hujaza kibaba.

Hitilafu kila siku

Mwisho watatia itilafu roho za watu.
 
Back
Top Bottom