Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

Baadhi ya Watz mnasikitisha sana. Suala la ndege kupata matatizo ya kiufundi ni kitu cha kawaida haijalishi ni pangaboi au jet. Fastjet leo ni siku ya tatu ndo safari zake za kuja Mwanza kwa ndege yao ya usiku ndo zmerudi kwenye ratiba zake za kawaida. Kabla ya hizi siku ndege zao zilipata hitilafu kwa kupokezana ndani ya siku moja. Labda kwakuwa mlio wengi humu mnapita airports wakati wa safari tu. Kwahiyo siku unapopita ukakuta ndege imepata hitilafu kwa siku hiyo,basi mnapiga kelele ndege mbovu eti za ATCL tu !!! Kwanini isiwe Fastjet au Precision Air ambazo nazo zimekuwa zikiharibika tena mara nyingi zaidi kuliko hata ATCL. Naona hizi ni chuki juu ya Magufuri baada ya kuziba na kuvuruga mitandao ya wizi wa pesa za serikali. Tuwe waungwana hata jambo zuri akilitenda adui yako,lipokee kwa mtazamo chanya. Upinzani sio kupinga kila linalotendwa na mpinzani wako,bali ni kujenga hoja. Mnapaswa kumpongeza mh rais kwan baada ya kuja ATCL unyanyasaji uliokuwa unafanywa na Fastjet walau umepungua kidogo japo bado upo,lkn kuna usafiri mbadala walau mtu anaweza kubadilisha ndege kuliko ilivyokuwa awali. Tuwe wazalendo kwa kuvipenda na kuvithamini vyetu ili kuvipa uwezo wa kutia huduma bora zaidi. Nilikuwa napita tuu maana nimewasikia baadhi mmekariri ule ubeti wa viongozi wenu kuwa Rais kanunua ndege mbovu,kitu ambacho ni tungo za wanasiasa wetu tuu.
Kimbinyiko v/s bombadier
 
Watanzania wanachonga saaana! Kwani hizo Airbus au Boeng huwa hazipati hitilafu?
 
Tatzo watu wanasimama kishabik tuu ila huwez kununua ndege wakat hao marubn na wahandis wa hvy viwanda vinavuohubiriwa hawana mikopo vyuoni, madaktari, mafamasia, na manesi vyuon haswa mwka wa kwanza hawan mikopo na hospital hazina hao wataalam but mwisho wa cku MUNGU ndo muamuz wa mwisho km yuko sawa huyu bwana atatenda sawa na mapenzi yake but#AM SORRY JK#@Niki Mbishi
 
siku hii ndege ikipotea angani au kuanguka kuna wajinga watachinja kuku na kupika pilau...
Nadhani kipindi hicho ww utakuwa kwenye mkesha wa kumuombea mfalme. Endeleeni kusifia ujinga
 
Ndo ujue watz wengi walivyo majuha wamepumbazwa na siasa hadi kuona kila kifanywacho na serikali ni kibaya.. Mungu saidia
Sio siasa bana. We unanunua ndege kwa pesa taslimu halafu huajiri ni akili au matope? Na midege yenyewe mmeshikishwa. Kila siku hitilafu. Mara kona. Mara mlango haufungi na signal haitoki. Mara ss abiria wanashushwa. Na bado.

Ndo wajifunze kufanya mambo kwa vipaumbele vinavyowafaa watu wote.
 
Sijawahi kusikia kuwa fastjet imepata hitilafu ,yaani vyombo vya habari kama ITV ikitokea tatizo kwenye Atcl lazima walipot sijui Huwa Wana lengo Gani ,any way hii ndio nchi yetu watu hawapendivyetu.
Hutakaa uskie fastjet mlango umegoma kufunga vzr na ikapaa. Kisha ikatua dharura na pilot asichukuliwe hatua kali kabisa
 
Hutakaa uskie fastjet mlango umegoma kufunga vzr na ikapaa. Kisha ikatua dharura na pilot asichukuliwe hatua kali kabisa
vitz ya mwaka 1998 , usipo funga mlango vizuri kabla ya kuondoka itapiga kelele had I uufunge
 
Tulishasema hizi ndege nimitumba mkabisha ndege hazina hata miezi 7 zimesha anza kusumbua kunasiku zitauwa
 
Ikitokea ATCL ni nongwa lakini ikiTokea mashirika mengine sawa tu
ni nongwa sababu mkuu wa kaya ndiyo aliyeenda kuchagua asa hatutegemei yeye kutuingiza chaka, mana ni mzalendo hao wengine tunaweza kusema hawana uzalendo na nchi
 
Baadhi ya Watz mnasikitisha sana. Suala la ndege kupata matatizo ya kiufundi ni kitu cha kawaida haijalishi ni pangaboi au jet. Fastjet leo ni siku ya tatu ndo safari zake za kuja Mwanza kwa ndege yao ya usiku ndo zmerudi kwenye ratiba zake za kawaida. Kabla ya hizi siku ndege zao zilipata hitilafu kwa kupokezana ndani ya siku moja. Labda kwakuwa mlio wengi humu mnapita airports wakati wa safari tu. Kwahiyo siku unapopita ukakuta ndege imepata hitilafu kwa siku hiyo,basi mnapiga kelele ndege mbovu eti za ATCL tu !!! Kwanini isiwe Fastjet au Precision Air ambazo nazo zimekuwa zikiharibika tena mara nyingi zaidi kuliko hata ATCL. Naona hizi ni chuki juu ya Magufuri baada ya kuziba na kuvuruga mitandao ya wizi wa pesa za serikali. Tuwe waungwana hata jambo zuri akilitenda adui yako,lipokee kwa mtazamo chanya. Upinzani sio kupinga kila linalotendwa na mpinzani wako,bali ni kujenga hoja. Mnapaswa kumpongeza mh rais kwan baada ya kuja ATCL unyanyasaji uliokuwa unafanywa na Fastjet walau umepungua kidogo japo bado upo,lkn kuna usafiri mbadala walau mtu anaweza kubadilisha ndege kuliko ilivyokuwa awali. Tuwe wazalendo kwa kuvipenda na kuvithamini vyetu ili kuvipa uwezo wa kutia huduma bora zaidi. Nilikuwa napita tuu maana nimewasikia baadhi mmekariri ule ubeti wa viongozi wenu kuwa Rais kanunua ndege mbovu,kitu ambacho ni tungo za wanasiasa wetu tuu.
Acha maneno mengi. Hizo ndege ni MBOVUMBOVU. Fastjet hizo hitilafu umeziskia ww tu? Afu unakejeli watu humu!!

Hakukua na haja serikali kuendesha biashara ya ndege. Hawajawahi kuweza hawawezi na hawataweza. Mtaimba na kusifu weeeeee.......... ila ukweli ndo huo.

Kiko wapi TTCL, Tanescrow, General Tire, textiles n.k? Serikali itoze kodi na kufanya ya jumuia. Biashara waachie binafsi. Ndo dunia hiyo.
 
Km yuko sahihi basi Aliyemuongoza kufanya hvy ndye atazilinda ila mm cwez kufany dua kwny kitu ambacho kwnz weng wa hadhi yangu ni km ctory tuu
Kngne ckulidhxhw na maamuz hayo vile vile hicho k2 kimeongza tatzo badala ya kupungza tatzo
Huwez amin nahc hta nusu ya gharama ya chopa moja imesharudi coz hzo hitilaf znahtaj repairing na repairing ya ndege cyo ya boxer au noah so yaan loss to loss
 
Back
Top Bottom