Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

That is not my concern..the key issue here is why are we not ready to accept the truth that Bombardier Q400 ni kimeo? Hizi ni ndege zinazotengenezwa special for irrigation purpose and not kubeba abiria.
tatizo waliozinunua wanazijua kuliko waliozitengeza!
nahisi hata siku ile sales person wa hizo bombadia alipokuwa anazifanyia promo nadhani sisi ndo tulikuwa waongeaji kuliko yeye
 
kitwanga na zitto walishasema wanazijua hizi tumepigwa ni ndege za zamani zimepakwa rangi uvccm mliwashambulia sana wiki iliyopita limoja liling'oka mlango ndege mpya gani hizo?
 
Tuziombee ndege zetu"


Siku za nyuma kulikuwa na kiwanda kinatengeneza ndege Kibidula Mafinga Iringa, wale jamaa wangeendelezwa si wangekuwa ndo watengeneza bombadia zetu asilia zisizo na usumbufu?
 
View attachment 466077

Zaidi ya abiria 70 wa ndege ya Bombadier Q dash 400,waliokuwa wakisafiri kutoka jijini Mwanza kuelekea jijini Dar es salaam jana majira ya saa moja usiku,wameshindwa kusafiri kwa kutumia ndege hiyo kutokana na kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake.

Kaimu Meneja wa uwanja wa ndege Mwanza David Matovolwa amesema kutokana na ndege hiyo yenye namba za usajili 5H TCB, kupata hitilafu ikiwa inataka kunyanyuka kwenye barabara ya kutulia na kurukia ndege ( runway ), ilibidi abiria kubadilishiwa ndege iliyotoka Dar es salaam ambapo waliweza kuondoka majira ya saa saba kasorobo usiku huo huo.

Akithibitisha ndege hiyo kupata hitilafu, Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la ndege Tanzania ( ATCL ), Mhandisi Emmanuel Koroso ameiambia ITV kwa njia ya simu kwamba ndege hiyo imeondoka uwanja hapo hii leo majira ya saa 4.30 asubuhi kuelekea jijini Dar es salaam ikiwa haina abiria baada ya mafundi kuifanyia matengenezo ya awali.

Shirika la ndege Tanzania lilizindua rasmi safari za ndege zake aina ya Bombadier Q dashi 400 kati ya Dar es Salaam na Mwanza Oktoba mwaka jana, ambapo ndege hiyo iliwasili mwanza kwa mara ya kwanza saa 10.45 jioni ikiwa Katibu mkuu wa Wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiliano Leonard Chamriho na kupokelewa na mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella.


Chanzo: ITV
Mimi Na amini Hilo tatizo linaweza kuwa solved, hizo ndege Ni Kama vyombo Tu vingine vya usafiri Na vinaweza pata technical issues Kama vyombo vingine vya usafiri, hizo Ni ndege mpya Na zitadumu kwa muda mrefu Sana Tu.
 
Hivi hizi ndege zitarudisha hata nusu ya gharama kweli!!
 
Ikitokea ATCL ni nongwa lakini ikiTokea mashirika mengine sawa tu
kijana haya mambo achana nayo. Assume ingeloga ikiwa angani? tikisema hakuna umakini kwenye sekta kwa Tanzania tunakosea? usafiri wa anga sio wa kuendeshwa kisiasa broo. nakuatakia jioni njema
 
That is not my concern..the key issue here is why are we not ready to accept the truth that Bombardier Q400 ni kimeo? Hizi ni ndege zinazotengenezwa special for irrigation purpose and not kubeba abiria.
Ya irrigation haitakiwi kuwa salama? Je, hizo za Irrigation hazitumii marubani au zinatumia robot na kama ni binaadam yeye haijalishi usalama wake? Think outside the box my boss.
 
Ila mbona ikifanya vizuri hamsemi? Napata shida kidogo kuwa mnaitakia nini hii nchi?
 
We will still call them greats even if they say nothing. Its almost a competition of saying we have found something 'new' yet there has never been any verifications.
Its not strange to find something in the ocean even in my pond there are some debris
 
Dah,,,, watu wengine wa ajabu sana,,,, hivi hizi ndege si zimenunuliwa kwa hela za walipa kodi wa Tanzania? Sasa kinachokufanya ushabikie hitilafu ni nini? Badala ya kisikitika kuwa kodi zetu zinaenda kutumika kufanyia marekebisho,,, wewe unafurahia eti,, tulijua tu,,,,, mmmh! Mungu iponye Tanzanaia
 
Nashauri tuendelee kuiombea nchi na viongozi wake,,,,
 
Back
Top Bottom