Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

No 1 alituamnish iyo mizigo ni mipya kabisa, sasa mbona hata miezi 3, bado zimeshaanza kuleta majanga? sasa kama lingegomea hewan na hao ndugu zetu 70 ingekuwaje? Mungu ibarik Tanzania & Mungu mbarik msukuma
 
Ndege mpya iliyo nunuliwa na serikali yetu tukufu aina ya bombardier imeshindwa kuruka toka uwanja wa ndege wa Mwanza kutokana na hitilafu za kiufundi. Hiyo ni ndege mpya
Chanzo msgazetini
 
Kutokana na hitilafu za kiufundi....basi nilidhani ni hali ya hewa
 
na fastjet kashusha bei mpaka jmosi elf 79 dar mwanza
 
Ni Kawaida chombo chochote kuwa hitilafu za kiufundi.
 
Ndege mpya iliyo nunuliwa na serikali yetu tukufu aina ya bombardier imeshindwa kuruka toka uwanja wa ndege wa Mwanza kutokana na hitilafu za kiufundi. Hiyo ni ndege mpya
Chanzo msgazetini
Kipi cha ajabu hapo kwani hiyo ndio ndege ya kwanza kupata hitilafu duniani au ndio ushamba huo wa kupanda ndege kwenye video
 
Hizi ndege zakuogopa kama ukoma zinaweza zima zikiwa angani
 
Mshana jr hajazindika hizo ndege mbona kila kukicha sarakasi nyingine-mahasimu wa CCM na serikali watakuwa wanazipiga nduba watu waziogope, uncle zipeleke kwa yule mzee wetu.
 
Waulizeni bombadier waliwezaje kujenga ndege tatu mpya ndani ya miezi sita, hakuna project ya namna hiyo katika aviation manufacturing industry kuna kitu kinahitaji majibu ya haraka, otherwise tutarajie janga kubwa katika katika eneo hilo.
 
Back
Top Bottom