Please..hata kama unamchukia Magufuli! For heaven sake..wanaozitumia ni waTanzania wenzako. Sio kila kitu ni siasa za chuki. Unadhani wakipoteza maisha wewe utafaidika nini? au ulitaka hizi ndege zisinunuliwe?? au ulitaka zinunuliwe vipi kusudi zikidhi vigezo vyako?
Kutofautiana kisiasa kitu cha kawaida..ila sasa maoni yako yamejengwa kwenye taswira ya chuki iliyopitiliza dhidi ya Magufuli.
Hivi what exactly do you want him to do?
Otherwise jipange uwa-convince waTanzania kwamba Magufuli hafai in 2020. But for now, just get used to this guy. He is the President. Mengine ni porojo tuu.