Sam 2013
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 484
- 492
Mkuu serikali ilinunua ndege mbili sio tatu, hiyo ya tatu ilikuwepo toka zamani inapiga route za Kigoma. Hizo ndege tatu unazozungumzia kutengenezwa ndani ya miezi sita kwamba haiwezekani unatumia criteria gani? Nipo kwenye aviation industry....Waulizeni bombadier waliwezaje kujenga ndege tatu mpya ndani ya miezi sita, hakuna project ya namna hiyo katika aviation manufacturing industry kuna kitu kinahitaji majibu ya haraka, otherwise tutarajie janga kubwa katika katika eneo hilo.