Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

Mungu tunusuru viumbe wako. Matumani yetu madhara yatadhibitiwa mapema
 
Imefungwa muda ila sasa inayoendelea kuvuja ni iliyo njiani. Hadi sasa saaa 3 bado iko kwenye high pressure. Sijui tutatoka saa ngapi
Ulitaka hivyo vyombo vya usalama viimeze hiyo gas au?? Jamani, tuache kulaumu laumu tu tuje na wazo. Labda tuseme, kwenye chanzo kufungwe, na hata uzalishaji usimame kwanza sio vyombo vya usalama kulaumiwa
 
Nikwamba Mitambo kule Songo songo imezimwa na kufunga bomba na bungu bomba linalopeleka kinyerezi limefungwa. Tuna subilia Gas iliyopo hapo hati kati so iishe kabisa ndio tupite, huenda ikawa kesho. Tupo Somanga tunakunywa supu ya Samakai
Bado hakuna habari latest, ie kama hali imeshadhibitiwa n.k.?
 
Imefungwa muda ila sasa inayoendelea kuvuja ni iliyo njiani. Hadi sasa saaa 3 bado iko kwenye high pressure. Sijui tutatoka saa ngapi
Mwenyezi Mungu SW awajalie mtoke tu salama. Chonde chonde asiwepo mvuta sigara karibu namyi
 
Ni kweli kuna valvu zimeblust ila hakuna madhara yoyote kwa binadamu kila kitu kipo shwari wamefungua vent tu kutoa gas ya njiani na hilo ni kutokana na kazi inayofanyika ya kuboresha mifumo ya gas kuna mkandarasi anafanya kazi
 
Gari zitaruhusiwa muda si mrefu gas imepungua kwa kiasi kikubwa baada ya vent kufunguliwa
Nikwamba Mitambo kule Songo songo imezimwa na kufunga bomba na bungu bomba linalopeleka kinyerezi limefungwa. Tuna subilia Gas iliyopo hapo hati kati so iishe kabisa ndio tupite, huenda ikawa kesho. Tupo Somanga tunakunywa supu ya Samakai
 
Habari ya muda hii. Bomba la gesi limepasuka maeneo ya somanga taharuki imetanda maeneo haya. Vyombo vya ulinzi na usalama kama kawaida hawatoi elimu kwa wananchi wapo tu wamezagaa hovyo. Tanzania hatujifunzi kabisa kuepuka majanga. Magari yote yanayotoka Dar es Salaam na kwenda Dar es Salaam hayapiti.

Inasemekana right moto ungeweka ungeweza unguza wilaya yote y kilwa. Nimeshangaa sana kwa kweli.
Lazima Kuna watu wamechota gesi wasakwe
 
Back
Top Bottom