Walikuwa na Meremeta, si umeona wameifanyia nini...
Hatimaye ripoti ya Bomani imetoka na hizi ni higjhlights kutokana na Gazeti la The Guardian:-
1. Govt should have shares in every mining company
2. Formation of minerals authority to surpervise all mining activities
3. Mining loyalty to be calculated on gross value andnot net value as
is the case at the moment
4. Increase gold royalt from 3% to 5%
5. Thorough investigations on Meremeta and Tangold
6. What was the legality of the BoT paying $ 132 million to the South Africa
NedBank?
Watanzania, hivi ni nani aliyeturoga?
Tujiulize yafuatayo:-
1. Yaani ardhi na madini ni yetu na mashimo (hasara) itabaki kwetu baada ya madini kuisha;kwa nini Serikali haina share kwa niaba ya Watanzania? Au ndo wale Wanasiasa kupewa Ukurugenzi kibinafsi kwa niaba ya nchi (Kumbuka Kinana na Artumas)
2. Yaani Rais Mkapa alikuwa anafanya nini jamani? Alikuwa pale Ikulu kwa MAslahi ya nani?
3. Kwani tusingewakaribisha wawekezaji wa madini tungepata hasara gani, maana hata sasa hakuna faida yoyote tuliyokwisha ipata kama nchi ila hasara tupu!
MAONI YANGU:-
Wale wote waliokuwa Mawaziri wa Awamu ya 3 na bado wamepewa Uwaziri au Ubunge sasa (Isipokuwa JK maana tunamwachia kazi maalumu ya kurekebisha hujuma hii), Wajiuzulu kwa kukubali ujinga na upuuzi huu kufanyika nchini mwetu
Hii ripoti unasema imetoka...Imetokea wapi?
Mbona siisiki ikijadiliwa BUNGENI?
Ama imetokea Bungeni hadi Gazetini?
Naomba uwe specific pls.
Mapendekezo hayo ni mazuri lakini ni kwanini haijadiliwi bungeni?
Ama jina la SINCLAIR bado MZIMU?
ningekuwa miye ibra nisingejibu hata moja, lakini since miye siyo ibra, i think jmushi umezidi kuamrisha watu utafikiri unawalipa...lol!Hii ripoti unasema imetoka...Imetokea wapi?
Mbona siisiki ikijadiliwa BUNGENI?
Ama imetokea Bungeni hadi Gazetini?
Naomba uwe specific pls.
Mapendekezo hayo ni mazuri lakini ni kwanini haijadiliwi bungeni?
Ama jina la SINCLAIR bado MZIMU?
Hatimaye ripoti ya Bomani imetoka na hizi ni higjhlights kutokana na Gazeti la The Guardian:-
1. Govt should have shares in every mining company
2. Formation of minerals authority to surpervise all mining activities
3. Mining royalty to be calculated on gross value and not net value as is the case at the moment
4. Increase gold royalt from 3% to 5%
5. Thorough investigations on Meremeta and Tangold
6. What was the legality of the BoT paying $ 132 million to the South Africa NedBank?
Chibingwa,
..inaelekea haya masuala ya madini na nishati una habari naye kidogo.
..hivi unaweza kutuambia tofauti ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Bomani, na yale ya Tume ya Kipokola.
..nina wasiwasi hizi Tume zinafanya kazi kwa kujirudia-rudia. nilisoma mapendekezo ya kamati ya Lawrence Masha, nikakuta reference kibao za kazi ya Tume ya Kipokola.
WAHESHIMIWA WABUNGE NAWAPENI MAPENDEKEZO YAFUATAYO SIJUWI KAMA YAPO KWENYE MAPENDEKEZO YA MHESHIMIWA BOMANI:
1. Prospecting license yeyote ile after 50% religuish (baada ya kupunguza nusu ya eneo la utafiti), asiluhusiwe mtu yeyote au kampuni yeyote ile kuliomba bali serikali kupitia STAMICO ndio imiliki eneo hilo na itafute mtu au kampuni ya kuingia nayo ubia.
2. Bunge ilitoe tamko kwa wizara kwamba application zote ambazo bado hazijatolewa zisitolewe kuanzia sasa hivi.
Hii nafikiri inaweza kuwa against contract walizosaini na pia kuharibu utendaji kama hakuna makosa. Hebu fafanua nia ya kufanya hivi ili tuwe pamoja.3. Maeneo yote ambayo ni prospective ambayo bado wawekezaji hajafanya upembuzi yakinifu (physibility study) na ripoti yake kuwasilishwa wizarani kwa waziri husika utafiti kwenye maeneo hayo usitishwe mara moja na yakabidhiwe STAMICO
4. State monopoly iludishwe na Stamico ndio wawe wasimamizi wakuu wa shughuli za madini
5. Mwisho serikali kupitia wizara au Geological Survey of Tanzania ifanye detail evaluation ya project zote kabla ya kuingia ubia na mtu yeyote yule au kampuni yeyote ile.
...acheni story zenu hapa tangu lini serikali ikafanya biashara na ikafanikiwa? hakuna haja ya serikali kujiingiza kwenye umiliki wa hizi mining,muhimu ni wahakikishe wanapata fair deal kwa nchi kupitia tax,royalties & employment kutoka kwa investors,na siyo vibaya wakiweka sheria kuhakikisha part of it lazima imilikiwe na wazawa,lakini serikali kujiingiza kwenye biashara thats no no no na uzoefu unaonyesha ni disaster tuu,wanashindwa kuendesha vitu vidogo kama mikopo ya wanafunzi jee kitu complex kama mining wataweza wapi na investor gani atakubali kushirikiana na incompetent/ mnacheza nyie....kama vipi funga migodi yote na hakuna foreigners mpaka wazawa(sio serikali) watakapokuwa na uwezo wa kuiendesha