Bomani Committee hiding the truth?

Bomani Committee hiding the truth?

Serikali inaandaa bajeti sasa, ripoti ikiwasilishwa kipindi hiki watashindwa kujibu swali la kwanini mapendekezo ya Kamati ya Bomani hayapo kwenye bajeti? ndiyo sababu ya chelewa chelewa hii.

Nilishasema hilo, kwamba JK ana wasi wasi kwamba ripoti hiyo akishakabidhiwa, Watanzania wengi tutakuwa na hamu ya kujua yaliyomo katika ripoti hiyo. Ni haki yetu ya kuyajua maana yanahusu rasilimali zetu. Kikao cha bunge kinaanza June 10, bungeni kunaweza kuwaka moto na hata kusababisha makadirio ya baadhi ya wizara kutopitishwa (hivi wabunge wa CCM walioweka maslahi ya chama chao na ya kwao mbele kuliko ya nchi wanaweza kuruhusu hili litokee?)

Sijui atafanya usanii wa kutokuwa na muda wa kukabidhiwa ripoti hiyo mpaka lini, huyu naye anaanza kuonyesha dalili za ufisadi. Anapata nafasi chungu nzima za kuijenga credibility yake tena kwa wananchi lakini zote anazipoteza, si bure kuna jambo kubwa kuhusu huyu msanii litakuja kuibuka nadhani muda si mrefu ujao
 
..nadhani Dr.Jonas Kipokola na tume yake walifanya kazi nzuri tu.

..hii tume ya Bomani nina wasiwasi itaja kuwa ni marudio ya kazi ya tume ya Dr.Kipokola.
 
Zito Akikaa Kimya Mpaka Anaondoka Madarakani Mtampelekea
Hiyo Riport Pale
Bagamoyo????
Hizo Tarehe Mwezi Sasa Embu Kuweni Open Kaka ...nakuaminia Kwa Hili Ila Swala La Tarehe Aliiniingii Mpaka Lini Na Akikaa Kimya Itakuwaje Mtakuja Kwetu Kusema Jamaa Ametuchunia???????
Haya Tusubiri Tahere
 
Lets just cross our fingers and hope that the report will unearth more scandals relating to the misuse of authorities by public officials. I dont care whether they submit it to JK next year or whenever. They should take their time and come up with something credible. Thats what we want to see!
 
Bomani team proposals on mining sector reforms: Ball now in JK`s court, says Canadian investor

-Its the president who has the final say not the committee

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE chief executive officer of a foreign company with vast mining interests in Tanzania, James Sinclair, has sought to assure international investors that President Jakaya Kikwete will not change existing fiscal policies in the sector despite a longstanding public outcry that the nation is not benefiting enough from mining receipts.

Sinclair, chairman and CEO of the Canadian-based Tanzanian Royalty Exploration Corporation, also states that he has already had access to the recommendations of the final report of the mining sector review committee chaired by retired judge Mark Bomani - just days after the report was actually submitted to president Kikwete himself.

Making the statements via his companys website, Sinclair furthermore declared that he was not worried about the future.

Bomani and other members of the committee presented the final report to president Kikwete at State House in Dar es Salaam on May 24 this year, and six days later (May 30) came Sinclairs website statement where he says in black and white:

Ive had the privilege of reviewing the (Bomani) committees recommendations - along with comments from the (Tanzania) Chamber of Mines - and have no serious issues with them. Whats important to know, however, is that the man who will make the final decision on the recommendations is the president - not the committee.

He continues: President Kikwete is an extremely knowledgeable and capable man who will do nothing to disturb the balanced fiscal policies that have produced enormous growth in Tanzanias economic base, most of it fuelled by international investors.

Sinclairs latest statement comes on the back of reports that the fourth phase government under Kikwete is gearing up towards sweeping reforms intended to ensure a win-win situation for both Tanzania as a nation and private companies operating mining projects in the country.

The Bomani committee was formed by the president himself late last year with the mandate to review all contracts currently pertaining to the sector, and advise the government accordingly. This is also interestingly stressed in Sinclairs statement, as follows:

President Jakaya Kikwete of Tanzania formed a committee last year to review the countrys Mining Law. This body has a name that describes its mission and limitations: The Presidential Committee to Review and Advise Government on Management of the Mineral Sector.

The Tanzanian Royalty Exploration boss also said he was confident the Bomani committees recommendations were focused on improving the conditions and privileges of (mining) exploration companies.

He further claims on the companys website that president Kikwete has been a close friend of his for more than 20 years now.

Tanzanian Royalty Exploration is a publicly-traded financial gold company whose stated business strategy is to acquire royalty interests in gold production from its core assets in the Lake Victoria greenstone belt (LVGB) of Tanzania, where a reported 40 million ounces of gold have been discovered since the mid-1990s.

Tanzanian Royalty ranks among the largest landholders in the LVGB - one of the most prolific goldfields in the world, the company says on its website, listing several multinational mining firms it has negotiated royalty agreements with in Tanzania, including Barrick Gold, AngloGold-Ashanti, and Northern Mining Explorations.

It is reported that by mid-2005, Tanzanian Royalty Exploration held a total of 138 prospecting licences in the Lake Victoria goldfields.

In February this year, Joseph Kahama was appointed a director of Tanzanian Royalty Exploration Corporation, after serving as senior vice-president of the corporation since July 2007.

Kahama also served as president and director of the companys wholly-owned subsidiary, Tanzania American International Development Corporation 2000 Limited (Tanzam 2000), since 1997. In his capacity as president of Tanzam 2000, Kahama was responsible for corporate administration and also for maintaining good relations with government, vendors, and the companys various business partners in Tanzania.
 
This is very serious to me.

Kama rais wa nchi anaweza kupewa ripoti halafu akajitokeza mtu anayejiita muwekezaji na kuweza kuwahakikishia wawekezaji wengine eti anao uhakika kuwa rais hataweza kamwe kufanyia kazi mapendekezo hay basi hii ni aibu kwa rais na taifa kwa ujumla wake.

Kuna maswali ya kujiuliza hivi huyu Sinclair aliipata wapi ripoti ya rais?
Hivi huyu anamjuaje rais wetu?
Nani kamtuma kuwahakikishia wawekezaji tena bila hata hofu?
Kikwete kanunuliwa?
Nchi iko mokononi mwa watanzania ama iko mikononi mwa Sinclair?

we have to take this as a high level insult to our president and our freedom as well.
 
Our Members of parliament should demand to see this report during the upcoming Bunge session.
 
This is very serious to me.

Kama rais wa nchi anaweza kupewa ripoti halafu akajitokeza mtu anayejiita muwekezaji na kuweza kuwahakikishia wawekezaji wengine eti anao uhakika kuwa rais hataweza kamwe kufanyia kazi mapendekezo hay basi hii ni aibu kwa rais na taifa kwa ujumla wake.

Kuna maswali ya kujiuliza hivi huyu Sinclair aliipata wapi ripoti ya rais?
Hivi huyu anamjuaje rais wetu?
Nani kamtuma kuwahakikishia wawekezaji tena bila hata hofu?
Kikwete kanunuliwa?
Nchi iko mokononi mwa watanzania ama iko mikononi mwa Sinclair?

we have to take this as a high level insult to our president and our freedom as well.

Ile kauli ya JK kwamba hana ubia na yeyote katika urais wake ilikuwa ni danganya toto tu, si ajabu kishanunuliwa na huyu jamaa ndiyo maana anapata kiburi cha hali ya juu cha kuzungumza anayoyazungumza anajua JK hawezi kufurukuta maana hana ubavu wa kufanya hivyo. Wakati wa Mwalimu, mzungu yeyote angetoa kauli kama hii, basi Mwalimu angemchamba vizuri sana maana hakuwa fisadi, lakini jamaa ataendelea kukenua tu kama vile kila kitu kiko shwari.
 
Hatimaye ripoti ya Bomani imetoka na hizi ni higjhlights kutokana na Gazeti la The Guardian:-

1. Govt should have shares in every mining company
2. Formation of minerals authority to surpervise all mining activities
3. Mining loyalty to be calculated on gross value andnot net value as
is the case at the moment
4. Increase gold royalt from 3% to 5%
5. Thorough investigations on Meremeta and Tangold
6. What was the legality of the BoT paying $ 132 million to the South Africa
NedBank?

Watanzania, hivi ni nani aliyeturoga?

Tujiulize yafuatayo:-
1. Yaani ardhi na madini ni yetu na mashimo (hasara) itabaki kwetu baada ya madini kuisha;kwa nini Serikali haina share kwa niaba ya Watanzania? Au ndo wale Wanasiasa kupewa Ukurugenzi kibinafsi kwa niaba ya nchi (Kumbuka Kinana na Artumas)
2. Yaani Rais Mkapa alikuwa anafanya nini jamani? Alikuwa pale Ikulu kwa MAslahi ya nani?
3. Kwani tusingewakaribisha wawekezaji wa madini tungepata hasara gani, maana hata sasa hakuna faida yoyote tuliyokwisha ipata kama nchi ila hasara tupu!

MAONI YANGU:-
Wale wote waliokuwa Mawaziri wa Awamu ya 3 na bado wamepewa Uwaziri au Ubunge sasa (Isipokuwa JK maana tunamwachia kazi maalumu ya kurekebisha hujuma hii), Wajiuzulu kwa kukubali ujinga na upuuzi huu kufanyika nchini mwetu
 
mapendekezo mazuri sana lakini i doubt kama kuna hata moja litatekelezwa,hawa hawahitaji tume wala kuwapigia kelele dawa yao ni ballot box tuu labda ndio lugha watakayosikiliza la sivyo tuendelee kumpigia mbuzi gitaa!
 
Kiwango cha share ambacho Kamati imependekeza eti iwe 10% (free share). HAta hivyo bado ni kidogo sana nadhani ikiongezwa hadi 40% nadhani itakuwa sawa kwani lazima waje kuwekeza? Ambaye hataki kukubali share za 40% aondoke madini hayaozi, Nyerere hakuwa mwendawazimu alipoamua kuyaacha hadi tupate uwezo wa kuyachimba wenyewe! Mbona Botwasana serikali ina hadi 49%? Sisi kunani nyuma ya hilo? FAida wanayopata Wawekezaji ni kubwa na hasara tutayopata baada ya madini kuisha ni kubwa zaidi.

Asiyetaka 40% kama govt share aanze mbele anayekubali masharti yetu tufanye naye kazi. Wasipochimba hayo madini tutapata hasara gani? Ndo maana nasema kuwa katika sulal la Uwekezaji wa Madini kuna Mkono wa Mtu (Mafisadi) na wasishangae siku tukiingia barabarani!
 
Hatimaye ripoti ya Bomani imetoka na hizi ni higjhlights kutokana na Gazeti la The Guardian:-

1. Govt should have shares in every mining company
2. Formation of minerals authority to surpervise all mining activities
3. Mining loyalty to be calculated on gross value andnot net value as
is the case at the moment
4. Increase gold royalt from 3% to 5%
5. Thorough investigations on Meremeta and Tangold
6. What was the legality of the BoT paying $ 132 million to the South Africa
NedBank?

Watanzania, hivi ni nani aliyeturoga?

Tujiulize yafuatayo:-
1. Yaani ardhi na madini ni yetu na mashimo (hasara) itabaki kwetu baada ya madini kuisha;kwa nini Serikali haina share kwa niaba ya Watanzania? Au ndo wale Wanasiasa kupewa Ukurugenzi kibinafsi kwa niaba ya nchi (Kumbuka Kinana na Artumas)
2. Yaani Rais Mkapa alikuwa anafanya nini jamani? Alikuwa pale Ikulu kwa MAslahi ya nani?
3. Kwani tusingewakaribisha wawekezaji wa madini tungepata hasara gani, maana hata sasa hakuna faida yoyote tuliyokwisha ipata kama nchi ila hasara tupu!

MAONI YANGU:-
Wale wote waliokuwa Mawaziri wa Awamu ya 3 na bado wamepewa Uwaziri au Ubunge sasa (Isipokuwa JK maana tunamwachia kazi maalumu ya kurekebisha hujuma hii), Wajiuzulu kwa kukubali ujinga na upuuzi huu kufanyika nchini mwetu

Hiyo gold royalt inamaanisha nini wandugu? na 2% increase ni significant?
 
Hiyo gold royalt inamaanisha nini wandugu? na 2% increase ni significant?

Mama, maana ya ni Mrahaba ambao kwa sasa serikali inapata 3%! Kamati inaona ni ndogo mno na inapendeleza Mrahaba ufikie 5% ambayo bado naona ni kidogo.

HAta hivyo Kamati imependekeza kuwa Mrahaba mpya wa 5% ulipwe kutokana na thamani ghafi (gross value) ya dhahabu inayozalishwa kitu ambacho nadhani ni kizuri. Hii inamaanisha kuwa hata huo Mrahaba wa 3% ulilipwa kutoka kutokana net value (baada ya kutoa gharama nyinginezo za uzalishaji) kitu ambacho kilitoa mwanya kwa Wezi hawa (Wawekezaji) kudanganya kwa kuongeza gharama zaidi za uzalishaji.

Ikumbukwe kuwa hawa Wezi (wawekezaji kwenye madini) bado walikuwa wanapata exemption kwenye mafuta (fuel) wanayoagiza kutoka nje ya nchi!
 
Kiwango cha share ambacho Kamati imependekeza eti iwe 10% (free share). HAta hivyo bado ni kidogo sana nadhani ikiongezwa hadi 40% nadhani itakuwa sawa kwani lazima waje kuwekeza? Ambaye hataki kukubali share za 40% aondoke madini hayaozi, Nyerere hakuwa mwendawazimu alipoamua kuyaacha hadi tupate uwezo wa kuyachimba wenyewe! Mbona Botwasana serikali ina hadi 49%? Sisi kunani nyuma ya hilo? FAida wanayopata Wawekezaji ni kubwa na hasara tutayopata baada ya madini kuisha ni kubwa zaidi.

Asiyetaka 40% kama govt share aanze mbele anayekubali masharti yetu tufanye naye kazi. Wasipochimba hayo madini tutapata hasara gani? Ndo maana nasema kuwa katika sulal la Uwekezaji wa Madini kuna Mkono wa Mtu (Mafisadi) na wasishangae siku tukiingia barabarani!

Naam share iwe at least 40% kama siyo zaidi, vinginevyo hakuna kuyapata madini yetu. Hivi ni investor gani ambaye hataridhika na share ya 60%? Waache upumbavu hawa wabunge na hawa mafisadi waliokuwa madarakani.
 
60% ni holding company while 40 is just Minority still watakuwa na control over their operation but whatever comes out Wadanganyika tupate at least 40%. Hata vizazi vijavyo vikikuta mshimbo tuwaambie tulitumia udongo wake kujenga barabara,shule na kuboresha uchumi mzuri watakaokuwa nao wakati huo, sio tuwaambie tulitumia udongo kufukia mmomonyoka kandokando ya bahari ya hindi, na udongo nao ukachukuliwa na maji
 
nadhani ikiongezwa hadi 40% nadhani itakuwa sawa kwani lazima waje kuwekeza? Ambaye hataki kukubali share za 40% aondoke madini hayaozi. Asiyetaka 40% kama govt share aanze mbele anayekubali masharti yetu tufanye naye kazi. Wasipochimba hayo madini tutapata hasara gani? Ndo maana nasema kuwa katika sulal la Uwekezaji wa Madini kuna Mkono wa Mtu (Mafisadi) na wasishangae siku tukiingia barabarani!

60% ni holding company while 40% is just Minority still watakuwa na control over their operation but whatever comes out Wadanganyika tupate at least 40%. Hata vizazi vijavyo vikikuta mshimbo tuwaambie tulitumia udongo wake kujenga barabara,shule na kuboresha uchumi mzuri watakaokuwa nao wakati huo, sio tuwaambie tulitumia udongo kufukia mmomonyoka kandokando ya bahari ya hindi, na udongo nao ukachukuliwa na maji
 
Hivi jamani wandugu. Hadi leo hii serikali haina mtaji wala wa taalamu wazalendo ambao wanaweza kuendesha mgodi? wowote ule? Je ni lazima madini yachimbwe na makampuni ya kigeni?
 
Hivi jamani wandugu. Hadi leo hii serikali haina mtaji wala wa taalamu wazalendo ambao wanaweza kuendesha mgodi? wowote ule? Je ni lazima madini yachimbwe na makampuni ya kigeni?

...wameshindwa ATCL/Tanesco wataweza mining kweli?
 
...wameshindwa ATCL/Tanesco wataweza mining kweli?

Tanesco na ATCL kilichowauwa ni ufisadi, kwa vile kila mtu alichukulia kuwa akipewa ukurugenzi au uwaziri basi siyo kapewa dhamana bali kakabidhiwa aendeshe kama vile ni biashara yake au kapelekwa hapo kujichotea vijisent!

ATCL na hata TRC zote zilikuwa chini ya wizara moja ya miundo mbinu under mzee wa vijisenti. Akataifisha. Tanesco nako IPTL, Richmond et al wameiua na ilikuwa bado kuizika tu. Tanesco wameanza hope tutaweza.

Je haiwezekani tukaendesha migodi yetu wenyewe? tatizo ni capital or ni human resources
 
Hivi jamani wandugu. Hadi leo hii serikali haina mtaji wala wa taalamu wazalendo ambao wanaweza kuendesha mgodi? wowote ule? Je ni lazima madini yachimbwe na makampuni ya kigeni?

Walikuwa na Meremeta, si umeona wameifanyia nini...
 
Back
Top Bottom