Bolton player Fabrice Muamba collapses during match....updates.

Ni habari isiyo njema, mchezaji ameanguka uwanjani mwenyewe bila kuguswa na mtu.
It seems very serious incident.
Parademics attempted to resusciate the midfilder on the pitch after he collapsed.
Muamba has been taken to hospital with the game called off.

Update:
He is now in stable condition in hospital.

Source: skysport news
 
_59145708_fabrice_muamba_getty.jpg


Inshaa-allah MM atamuafu na yaliyomkuta. Ameen.
 
Naamini wenzetu Waingereza wapo serious pengine hakutokuwa na uzembe katika kumtibia ila all in all tumwachie Mwenyezi Mungu kwani yeye ndiye mwamuzi wa yote.
 
uzi huu upo. jaribu kuangalia nyuzi za nyuma. Ila tunashukuru kwa taarida
 
Anaitwa Fabrice Muamba. Sio Patrice. Anapiga namba 6 pale Bolton. Ana umateumate, kama anakupa kumbe anafinya.. Amekulia kwenye Academy ya Arsenal! Tumuombee wadau
 
Wakuu, barcelona nao wanacheza na vitambaa vyeusi mkononi,,kunani? hali ya Abidal inaendeleaje?
 
tHE MATCH BETWEEN TOTTENHAM AND BOLTON HAS BEEN ABANDONED... THIS IS NOT LOOKING GOOD AT ALL FOR A CONGOLESE/BRITISH

TETESI NI KWAMBA FABRICE MUAMBA AMEPATA ATTACK AND HE IS FIGHTING FOR HIS LIFE

Bado hakuna taarifa zozote zile ila initial indication ni kwamba hii ni Cardiac arrest, the first 10 minutes are critical for survival. Hakuna tetesi zozote kuhusu afya yake kwa sasa yupo hospitali, I am closely monitoring the news about his health. Lets pray for him. Hii inanikumbusha issue ya Marc-Vivien Foé
 
Bado hakuna taarifa zozote zile ila initial indication ni kwamba hii ni Cardiatic arrest, the first 10 minutes are critical for survival. Hakuna tetesi zozote kuhusu afya yake kwa sasa yupo hospitali, I am closely monitor the news about his health. Lets pray for him. Hii inanikumbusha issue ya FOE

pal, he really needs our prayers....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom