Eden Hazard atangaza kustaafu kucheza soka

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Hazard.JPG

Eden Hazard, raia wa Ubelgiji ametangaza uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 32, akikumbukwa na wengi kwa umaarufu mkubwa alioupata akiwa Chelsea, amesema huu ni muda sahihi wa kukaa pembeni baada ya kuwa kwenye mchezo huo kwa Miaka 16 na kucheza mechi 700.

Akiwa katika klabu yake ya mwisho ya Rea lMadrid alicheza mechi 76 katika misimu minne huku muda mwingi akisumbuliwa na majeraha ambapo aliumia mara 18.

Akiwa Chelsea alikuwa na kiwango cha juu ambapo alifunga magoli 110, akatoa pasi za mwisho 92 katika mechi 352.

===============

Eden Hazard RETIRES from football aged 32 after getting released by Real Madrid this summer as ex-Chelsea star posts emotional farewell message: 'I made my dream come true'

Eden Hazard has confirmed his decision to retire from football at 32-years-old, via a post on social media.

The 32-year-old has been without a club since he was released by Spanish giants Real Madrid in the summer - having made just 76 appearances across four seasons at the club.

Following his Real Madrid departure, a return to elite-level football is looked to be off the cards as Hazard made multiple suggestions he may hang up his boots for good.

The winger did reportedly have some English clubs interested in him after leaving Madrid, but concerns about his fitness seemed to be a major barrier.

And now, via a lengthy post on his Instagram page, the former Chelsea star has confirmed his decision to retire from the game for good.

The former Chelsea and Real Madrid star wrote: 'You must listen to yourself and say stop at the right time.

'After 16 years and more than 700 matches played, I have decided to end my career as a professional footballer.

'I was able to realise my dream, I have played and had fun on many pitches around the world.

'During my career I was lucky to meet great managers, coaches and teammates - thank you to everyone for these great times, I will miss you all.

'I also want to thank the clubs I have played for: LOSC, Chelsea and Real Madrid; and thank the RBFA for my Belgian Selection.

'A special thank you to my family, my friends, my advisors and the people who have been close to me in good times and bad.

'Finally, a huge thank you to you, my fans, who have followed me for all these years and for your encouragement everywhere I have played.

'Now is the time to enjoy my loved ones and have new experiences. See you off the field soon my friends'.

Hazard won the Premier League twice and the PFA Player of the Year award at Chelsea, and also secured two La Liga titles and the Champions League with Real Madrid.

However, the Belgian winger suffered 18 separate injuries during his spell in the Spanish capital, ruling him out of 95 games for club and country in that time.

This was a complete contradiction to his time at Chelsea, where the Belgian was rarely injured and notched 110 goals and 92 assists in 352 appearances for the Blues.

Despite playing a bit-part role in Madrid, Hazard still managed to claim six titles - having also won the Copa del Rey, Spanish Super Cup and UEFA Super Cup.

During his time with the Blues, Hazard also won two Europa League titles, one FA Cup and one League Cup.

On an individual basis, Hazard was named the PFA Players' Player of the Year and Premier League Player of the Season during the 2014–15 campaign.

He also won the Chelsea Player of the Year award on four separate occasions after his stunning displays on the wing for the Blues.
 
Hivi ina maana ule mtindo wake wa kudribo ndio umemletea majeraha sana au ni bahati mbaya? Mana kina CR7 wao wanaendelea kukipiga na alishasema atastaafu akiwa na miaka 40, ila inaonekana anaweza kupitiliza hiyo miaka.

Siri ya kucheza muda mrefu ni nini? Je, kuna madhara ya kiafya kucheza mpira muda mrefu?
 
Ku dribble na kustaafu mapema kunahusiana nini mkuu?
 
Ku dribble na kustaafu mapema kunahusiana nini mkuu?
Ahaa! Uhusiano upo hivi je, jamaa uchezaji wake wa kudribo na kukaa na mpira muda mrefu ndiyo umemfanya kupata majeraha ya mara kwa mara mpaka kashindwa kucheza muda mrefu? Waliocheza mpira wanajua madhara ya kudribo na kukaa na mpira muda mrefu pindi wanapocheza na wakata umeme wenye roho mbaya.

Hiyo habari inasema akiwa Madrid Hazad kaumia mara 18. Jamaa amestaafu akiwa na miaka32.

Lakini muda huohuo kuna wachezaji mafowadi kama CR7 yeye bado anacheza na alisema atastaafu akiwa na miaka 40.
 
Mimi nimecheza soka najua mkuu
Kuna watu wanakaa sana na mpira na ni ngumu kuumia sana very rare.

Huyu alikuwa hafanyi mazoezi sana alikuwa mvivu pia wa mazoezi .
Alipoenda Madrid aliongezeka uzito na mazoezi ndo hivyo .
Majeraha yakawa mengi sana

Kama hoja ni ligi ya Spain wanakaba sana je epl walikuwa hawamkabi?
Jibu ni moja huku England ndio alikuwa anakabwa sana na alikuwa fiti kuliko Spain
 
Basi atakuwa na bahati mbaya. Halafu ishu ya majeraha inawezekana hata aliumia akiwa England ila akawa anatonesha tu alipokuwa Spain, au huko Spain kaumia vibaya kuliko England. Labda dokta kamshauri atundike daruga kwa usalama wa afya yake.

Mana hata kama ni mvivu wa mazoezi, ina maana yeye hapendi pesa za Saudi Arabia!. Kwamba amekuwa mvivu mpaka akose timu Saudi Arabia kama ni mzima wa afya kabisa!.

Yote kwa yote hapa tunachangamshana tu kimawazo, lakini sababu hasa ya kustaafu anaijua yeye mwenyewe, au tutajua tu baadae, labda alikuwa na malengo yake mengine nje ya soka.
 
Mimi nimecheza soka najua mkuu
Kuna watu wanakaa sana na mpira na ni ngumu kuumia sana very rare.

Huyu alikuwa hafanyi mazoezi sana alikuwa mvivu pia wa mazoezi .
Alipoenda Madrid aliongezeka uzito na mazoezi ndo hivyo .
Majeraha yakawa mengi sana

Kama hoja ni ligi ya Spain wanakaba sana je epl walikuwa hawamkabi?
Jibu ni moja huku England ndio alikuwa anakabwa sana na alikuwa fiti kuliko Spain

Yan uwe hufanyi mazoezi sana na uwe mvivu wa mazoezi halafu usajiliwe Real Madrid…??? Au sijaelewa vizuri hapa??

Au uvivu ulianza BAADA ya kusajiliwa…??
 
Yan uwe hufanyi mazoezi sana na uwe mvivu wa mazoezi halafu usajiliwe Real Madrid…??? Au sijaelewa vizuri hapa??

Au uvivu ulianza BAADA ya kusajiliwa…??
Mkuu kuna wachezaji hawafanyi mazoezi sana lakini uwanjani anakupa 9/10
Huyu ni mmojawao.

Messi unavyomuona vile ni mvivu wa mazoezi sana lakini uwanjani si unaona kazi? Messi anavuta shisha .

Hazard aliongezeka uzito alipokuwa Madrid
 
Ahaa! Uhusiano upo hivi je, jamaa uchezaji wake wa kudribo na kukaa na mpira muda mrefu ndiyo umemfanya kupata majeraha ya mara kwa mara mpaka kashindwa kucheza muda mrefu? Waliocheza mpira wanajua madhara ya kudribo na kukaa na mpira muda mrefu pindi wanapocheza na wakata umeme wenye roho mbaya.

Hiyo habari inasema akiwa Madrid Hazad kaumia mara 18. Jamaa amestaafu akiwa na miaka32.

Lakini muda huohuo kuna wachezaji mafowadi kama CR7 yeye bado anacheza na alisema atastaafu akiwa na miaka 40.
Mkuu point of correction. Hakuna sehemu yoyote Ronaldo aliwahi kusema atastaafu akifika miaka 40. Naona umeirudia nimeona nikusahishe hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom