Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Fikiria hii ingetokea kwa mchezaji wa Mtibwa kule Manungu!!!
Inaweza kumtokea mtu yoyote mkuu, sio mchezaji tu.
Muhimu ni kuakikisha tunaenda kujifunza kufanya CPR, ni darasa rahisi sana ambalo muhimu kwenye kuokoa maisha ya watu.