Bolton player Fabrice Muamba collapses during match....updates.

Ya, ni kweli ame collpse na mechi imeahirishwa kwani haifahamiki hali yake itakuwaje...

Kwa wale wapenzi wa mpira Mchezaji wa Bolton mwenye asili ya DRC amezimia uwanjani. Hali yake si nzuri. Mechi kati ya Tottenham na Bolton (FA Cup 1/4 final) imesitishwa.

Source: Live ESPN / Sky sports News
 
Dah,kweli no sweet without sweat,anaweza recover as madoctor wa huko sio kama wale wa MAT na juice za kikwere!
 
Du hatari,je ana undugu na yule maumba wa ilala aliyekua anawanajisi watoto wadogo?

Hilo mkuu sijuhi ila huyu Muamba alizaliwa Kinshasa lakini ana urahia wa UK. Nadhani wanasubiili confirmation lakini inaonekana ametutoka. Wamejaribu mashine zote kurudisha mapigo ya moyo lakini haikuwezekana. Wanasubiri doctors confirmation
 
Tottenham v Bolton

[h=1]Tottenham match abandoned[/h]March 17, 2012

By ESPNsoccernet staff

Tottenham's FA Cup game against Bolton has been abandoned after midfielder Fabrice Muamba appeared to collapse on the pitch.
Referee Howard Webb called a halt to game at 41 minutes with the Bolton player needing urgent medical attention on the pitch. Amid worrying scenes, six paramedics raced across the pitch and appeared to try to resuscitate the former England Under-21 international. He has now been taken to hospital.
More to follow...

FA Cup match abandoned as Muamba collapses - ESPN Soccernet
 
SS10 wamwemonesha alivyokuwa ameanguka chini, inaonekana anapumua kwa shida sana!!
 
mkuuu mbona muuwaji hivyo amekutoka kaenda wapibana
mi naangalia bbc bado wanamkimbiza hospit ila anaitaj maombi yenu nachoonekana jamaa
alikuwa amefunga kabla ya kuingiauwanjani msosi ni muhimu jamani ..teeteeehhh
 
Mungu apishe mbali lakini inaonekana inaweza kuwa kama ile ya Mchezaji wa Cameron aliyefia uwanjani
 
Tottenham v Bolton

Tottenham match abandoned

March 17, 2012

By ESPNsoccernet staff

Tottenham's FA Cup game against Bolton has been abandoned after midfielder Fabrice Muamba appeared to collapse on the pitch.
Referee Howard Webb called a halt to game at 41 minutes with the Bolton player needing urgent medical attention on the pitch. Amid worrying scenes, six paramedics raced across the pitch and appeared to try to resuscitate the former England Under-21 international. He has now been taken to hospital.
More to follow...

FA Cup match abandoned as Muamba collapses - ESPN Soccernet
 
Mchezaji wa Bolton, Fabrice Muamba ameanguka ghfla kama ilivyotokea kwa Vivia Foe. Mechi ilisimama na baadae kuahirishwa kutokana na wachezaji kutokuwa tayari kuendelea na game baada ya kushuhudia hali aliyokuwa nayo mwenzao. Wachezaji walionyesha kufadhaishwa na hali alokuwa nayo Muamba.

Mtajulishwa juu ya hali yake kwani amepelekwa hospitali kwa matibabu zaidi, ila hali ni mbaya sana!
 
Inasikitisha sana maana kuna washaanza kusema kwamba Fabrice kavuta......

Kapata Heart Attack....
mkuu hali si hali.... raha yote ya kumamosi imetoweka

nimegoogle akina foe puerta na wachezaji wenti tu wa other sports especially USA, sad!!
 
mkuu hali si hali.... raha yote ya kumamosi imetoweka

nimegoogle akina foe puerta na wachezaji wenti tu wa other sports especially USA, sad!!

Inasikitisha sana..... Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo kuna mchezaji wa simba alianguka kiwanjani na baadaye akatangazwa amefariki.
 
Hakika hali yake siyo!

Kupitia vyombo vyote vya mchezo zenye kurusha mpira wanasema ktk vyanzo vyao hali ya Muamba 23yrs ni MUNGU akamnyooshee mkono kupitia Goal.com na nyingine kama hizo.

Imenirusha andas yote ya soccer niliyokuwa nayo leo hii.

MUNGU SAIDIA ISIWE KAMA ILE YA MAREHEMU FOE.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom