Nyie mnaosema bollywood zaidi ya Hollywood ebu tutajieni movie kumi za bollywood zilizovunja record duniani kama za Hollywood.
kwa mujibu wa idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujerumani..sikumbuki tarehe ila ni mwezi wa 3 mwaka 2011 kwenye habari ya saa 7 mchana...HOLLYWOOD ni ya kwanza kwa ubora,mauzo,wingi wa kazi za filamu,umaarufu,ya pili BOLLYWOOD,ya tatu NOLLYWOOD...TOLLYWOOD sina uhakika ni ya ngapi...binafsi nilizipenda sana muvi za kihindi za miaka ya 70,80....lakini za sasa zinareflect utamaduni wa magharibi nami sipendi hilo..TOLLYWOOD wanajitahidi sana lakini hakuna uhalisia wa maisha ya watanzania na utamaduni wao,pia waandaaji wanatarget soko la nchini pekee tena la muda mfupi tu...NAWASILISHA
vp chinawood jamani full kungfu na makareti ehehehe....