Bollen Ngetti: Wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na uoga wa kijinga...

Kiukweli Tanzania tupotupo tu hatujui tunataka Nini na NDo Mana hata viongozi wetu wanaamua wanalotaka wao....

Nakuapia leo MAGUFULI akisimama akasema anasitisha SGR Mana gharama zimekua kubwa wanna CCM tutashangilia pia Mana hatujielewi tunachokitaka..
 
Kwani lini Bashite anapeleka wasanii kutembelea SGR na kusifia serikali ya mtu na sio ya Tz niwepo jamani maana lazima niwe kinyume na spika
 
Kiukweli Tanzania tupotupo tu hatujui tunataka Nini na NDo Mana hata viongozi wetu wanaamua wanalotaka wao....

Nakuapia leo MAGUFULI akisimama akasema anasitisha SGR Mana gharama zimekua kubwa wanna CCM tutashangilia pia Mana hatujielewi tunachokitaka..
Watakuambia wamesitisha kwa sababu neno "kusitisha" lilikuwa kwenye ila I ya CCM
 
Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!

Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.

Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!

Wewe unadhani wahenga waliposema "mtumikie kafiri upate mradi wako" walikosea?!😁
 
Tulishajadili hili hapa jukwaani kwa kirefu sana adui no moja wa taifa hili ni ccm na wabunge wake uchwala, mipango mibovu yote inapitishwa na wao, mikataba mibovu yote wao hawa jamaa huwa wanatia hasira sana sijuhi wamelishwa nini,ingelikuwa ni heri kwao kutokuzaliwa.
 
Mh. Lusinde (Kibajaji) na Msukuma Mpooooo !!!

Maana nyinyi ndio mazombi namba 2 wa Bunge hili ukiachana na lile zombi namba 1 alietaka tuweke sanamu la Diamond pale Azikiwe na Samora

Wabunge wa CCM hovyoooo kabisaaaa mazombi matupu baraka ya mikopo tu
 
Matumbo baba
 
Wabunge wanachaguliwa na serikali au wananchi?
Kodi inatoa serikali au sie wananchi?
Kwanini wanakosa msimamo katika wanachokiamini?
Wewe unadhani wahenga waliposema "mtumikie kafiri upate mradi wako" walikosea?!
 
Kwanini hawana msimamo linapo kuja suala la maamuzi kwa ajili ya nchi?
Tulishajadili hili hapa jukwaani kwa kirefu sana adui no moja wa taifa hili ni ccm na wabunge wake uchwala, mipango mibovu yote inapitishwa na wao, mikataba mibovu yote wao hawa jamaa huwa wanatia hasira sana sijuhi wamelishwa nini,ingelikuwa ni heri kwao kutokuzaliwa.
 
Tujadili kwa kulinda heshima za watu mkuu hao ulowataja ni wawakilishi wa watu wenye akili timamu kama wewe sasa si busara kuwavunjia heshima watu wanaokuwalisha .
Mh. Lusinde (Kibajaji) na Msukuma Mpooooo !!!

Maana nyinyi ndio mazombi namba 2 wa Bunge hili ukiachana na lile zombi namba 1 alietaka tuweke sanamu la Diamond pale Azikiwe na Samora

Wabunge wa CCM hovyoooo kabisaaaa mazombi matupu baraka ya mikopo tu
 
Haya maneno umeshamueleza Musiba..???

Yaani mtahaha sana... hata vya wazi mtapinga... Umeambiwa JPM wakati anaongekea SGR NA BAGAMOYO walishangilia... Na kusimamisha mradi wa BAGAMOYO bado wameshangilia, WEWE UNAWAELEWA WANACHOTAKA ..???
Wewe unaeelewa wanachotaka wape bila hiana!
 
Awamu hii imetengeneza utumishi wa hofu na kusifia sifia tu ili uonekane kuwa sio msariti. TAIFA LINAELEKEA KU COLLAPSE KWA SABABU YA WEHU WACHACHE.
 
Wabunge wanachaguliwa na serikali au wananchi?
Kodi inatoa serikali au sie wananchi?
Kwanini wanakosa msimamo katika wanachokiamini?

Shida ni kwamba wabunge wanatokana na vyama ambapo ili uteuliwe na chama kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM ni lazima ushinde kwenye kura za maoni katika chama na hapo ndipo kwenye shida, kama utakuwa ni mbunge unayepinga na kuikosoa sana serikali basi Chama kinakuwa na hatima yako kwa msingi kwamba serikali inaongozwa na chama husika na Raisi (mkuu wa serikali) ndiye mwenyekiti wa chama.

Hapo ndipo shida inapotokea na ndiyo maana Wabunge wengi wa CCM ni "misukule" kwani hawajitambui, ni Wabunge wachache sana wa CCM wanaojitambua na wao pia huchukua tahadhari kubwa katika kuikosoa serikali.
 
Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!

Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.

Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
Njaa ikihamia kichwani ni tatizo
 
Unakumbuku kwambwa wao ndio walioikataa katiba ya mzee Warioba ambayo ingewafanya kuwa huru zaidi kimitazamo?
Hivi hapa hebu tuwekane vizuri kwenye kumbukumbu. Walioikataa katiba ya Warioba ni wabunge wapi??? Kwa sababu kuna watu huwa hawaelewi ni nani walitufikisha hatua hii ya kuikosa katiba bora kabisa.

Mkuu liweke vizuri hapa kwa kumbukumbu tu.
 
Back
Top Bottom