msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,347
- 6,557
Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!
Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.
Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!