Bollen Ngetti: Wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na uoga wa kijinga...

Shida Yao nini haswa kuwa na mtazamo wa bendera? Kura tunawapigia sie wananchi iweje wakose msimamo kama wameteuliwa?
Hili ndio hasa tatizo la Farasi kuvuta Mkokoteni.
Hapo lazima wafikirie otherwise badala ya sisi kufikiria kwa niaba yao.
Maana kimsingi hata posho zao wanakula peke yao.
Hapo muheshimiwa ndio anajionea ana wabunge wa sampuli gani
 
Wewe ni mojawapo ya misukule anayoelezea mchambuzi Bollen Ngetti?
Mleta mada sio CCM ungekuwa CCM ungekuwa na uelewa mkubwa .Huelewi katiba ya nchi inasenaje.Katiba ya nchi inasema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumwita mtu taahira,msukule nk ni kumvunjia mtu heshima na utu wake .Haikubaliki na haivumiliki na Ni uvunjaji katiba na kosa kisheria
 
Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!

Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.

Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
Mimi napendaga kuagalia kiini cha tstizo, wabunge wetu hawako huru, wanashinikizwa na so called vyama vyao, ni waoga kufukuzwa vyama na kupelekea kupoteza ubunge wao. Japa suluhisho ni Kuwepo na mgombea binafsi ilihata mtu akifukuzwa uanachama abakie na Ubunge wake. Tusiwalaumu tuwaelewe na kuwasaidia kwa njia ya Bob Wangwe style, tudai mgombea binafsi mahakani.
 
kwani hiyo iliosema hivo ni katiba ya ccm au katiba ya nchi. ...kwa akili yako ukiwa ccm ndio katiba inakuwa yakwako au ???
 
Mleta mada sio CCM ungekuwa CCM ungekuwa na uelewa mkubwa .Huelewi katiba ya nchi inasenaje.Katiba ya nchi inasema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumwita mtu taahira,msukule nk ni kumvunjia mtu heshima na utu wake .Haikubaliki na haivumiliki na Ni uvunjaji katiba na kosa kisheria
Tena wewe ndo taahira/msukule mkuu wa magufuli. siku magufuli akitoa amri ya kukuoa wewe na ukoo wako utakuja hapa kushangilia.
 
Unakumbuku kwambwa wao ndio walioikataa katiba ya mzee Warioba ambayo ingewafanya kuwa huru zaidi kimitazamo?
Mimi napendaga kuagalia kiini cha tstizo, wabunge wetu hawako huru, wanashinikizwa na so called vyama vyao, ni waoga kufukuzwa vyama na kupelekea kupoteza ubunge wao. Japa suluhisho ni Kuwepo na mgombea binafsi ilihata mtu akifukuzwa uanachama abakie na Ubunge wake. Tusiwalaumu tuwaelewe na kuwasaidia kwa njia ya Bob Wangwe style, tudai mgombea binafsi mahakani.
 
Mleta mada sio CCM ungekuwa CCM ungekuwa na uelewa mkubwa .Huelewi katiba ya nchi inasenaje.Katiba ya nchi inasema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumwita mtu taahira,msukule nk ni kumvunjia mtu heshima na utu wake .Haikubaliki na haivumiliki na Ni uvunjaji katiba na kosa kisheria
Musiba ni mwana CCM?
 
Na Bollen Ngetti
HIVI wana CCM wenzangu hebu tujitenge na unafiki na woga wa kijinga then tuwajadili hawa wabunge wetu hususan wale wa kundi la "Inzile". Tusiogope kuchangia, tuongozwe na ukweli ndio kuwasaidia wala tusijadili chumbani!

Hivi, kuna sababu yoyote ya wabunge wetu hawa kukasirika wakiitwa misukule, matahira au viumbe wasioweza kujiongoza kwa utashi? Kuna ubaya gani tukiwafananisha na midoli ya umeme, "robot". Naomba nikiwa Mbunge nisiambukizwe ugonjwa huu unaoshambulia uwezo wa kufikiri na kuwafanya kuwa namna hii!
Tazama, mwaka 2016 wakati Serikali ya Magufuli ikizindua Mpango wa Maendeleo ya miaka 5 mbeld ya Wabunge jijini Dodoma, Rais Magufuli alielezea kwa kirefu umuhimu wa kujenga reli ya kisasa, SGR na kustopisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Wabunge hawa walishangilia kwa kiwango cha hatari kana kwamba Magufuli kashusha "mana" jangwani.

Ukaanza kuimbwa nyimbo za pambio kuhusu SGR.
Leo, Spika Ndugai kasema umuhimu wa Bandari ya Bagamoyo na kusimamisha ujenzi wa SGR, wabunge wale wale kwa sura na majina yao wakashangilia kama matahira! Kesho Magufuli atasifia SGR tena utawaona wakishangilia, hivi wanatumia viungo gani kufikiri? Kwa nini hawawezi kuwa na misimamo kwa mambo ya msingi kama watu wenye usawaziko wa akili? Tatizo ni nini? Nadhani hata Rais Magufuli anawashangaa sana maana hamumsaidii!
akili mbovu ndio hizi hapaaa... ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO..
Je hili daraja la SALENDER lina umuhimu gani kwa wananchi wa DAR kwanini lisijengwe JANGWANI kuokoa wa adha ya mafuriko kila mwaka.?? MNAENDA KUJENGA BAHARINI KWANI SISI FISHI?
1096959

1096960
1096961
 
Wakati Mh.Rais anaongelea SGR na BAGAMOYO walishangilia sana, ajabu na kusitishwa kwa mradi wa BAGAMOYO wameshangilia bila aibu.Sie wapiga kura wao tuwaungemkono katika lipi?
Mabeberu sio watu wazuri hata wewe wamekulambisha tuwe wazalendo kwa kuwaunga mkono wabunge wetu na kuwaheshimu.
 
Tena wewe ndo taahira/msukule mkuu wa magufuli. siku magufuli akitoa amri ya kukuoa wewe na ukoo wako utakuja hapa kushangilia.

Wrong and wrong doesn't make it right. Kosa unalolikemea la wakuita Wabunge Mataahira/misukule ndo hilohilo unalifanya. Lazima uchague upande Mkuu. Hakuna ulazima wa kutumia lugha za kejeli na dharau katika ukosoaji wetu.
 
Sijui niwape jina gani, nisijeitwa na kamati kuhojiwa.

Tuna wawakilishi na watumishi hopeless ktk chi hii.

Umesikia dhamira ya AG kupinga hukumu iliyotolewa na mahakama kuu juu ya MaDED kuwa wasimamizi?? Je AG anafanya hivyo kwa maslahi ya nani au ni aibu ya kugalagazwa akiwa ndiye mshtakiwa( mlalamikiwa) kwenye kesi ile?? Anaona abu AG kushindwa hoja??
Kwakweli ukisoma zile twit za AG unaweza tamani kumshushia bonge tusi maana zinatia hasira kwelikweli
 
Wrong and wrong doesn't make it right. Kosa unalolikemea la wakuita Wabunge Mataahira/misukule ndo hilohilo unalifanya. Lazima uchague upande Mkuu. Hakuna ulazima wa kutumia lugha za kejeli na dharau katika ukosoaji wetu.
Well, I choose to stay neutral.. For now.
 
Back
Top Bottom