ze MTU GUD
Member
- Nov 30, 2012
- 6
- 0
eeh bana xelaa atatumia ka cku 30 hvi coz daily anapanda mita moja ani
nashukuru sana kwa mlio dare ku boil your brains!. jibu ni kwamba atatumia siku 28. kila siku atapanda mita moja juu akifika siku 27 atakuwa amepanda mita 27 na atakuwa amebakiza mita tatu. siku ya ishirini na nane atapanda mita tatu zilizobaki hadi nje. big up john hotsam da1
Hicho kisima cha maji
chumvi au ya kawaida? Halafu mkifunge kabisa maana konokono
wanasababisha kichocho!! NIMEPATA au?