bofya kudownload vitabu vya sheria hapa

Mpeni sifa Yesu

JF-Expert Member
May 23, 2010
646
129
tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na utafaidika sana.

bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

asanteni sana na Mungu awabariki.
 
Mmmhhhhhhhhhh nilizani umejiendeleza ila kumbe bado na unatumia ujanja wa kudanganya kufanya biashara unavyotafuta wateja.

Jua uongo unakimbiza wateja hata waliokuwa na nia ya kununua hata vyya kuwapa ndugu zao.

Kama unaweka link ungeweka direct one sio ya mtu kusoma (najua hauwezi kamwe kuachia watu wa download) ILA acha UONGO na business haviendi.

Tumia ujanja wa kutangaza kivingine.

Ila muda umefika sasa wa VOL 2 au?

Embu weka page moja ktkt pia labda watu wakisoma watapata hamu ya kujua nini zaidi kitabuni.
 
tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na utafaidika sana.

bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

asanteni sana na Mungu awabariki.
Mkuu mimi natafuta vitabu vyenye mafundisho mazuri ya yesu!
 
tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na utafaidika sana.

bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

asanteni sana na Mungu awabariki.

tunajisikia furaha sana kusikia hivyo but nakushauri ufungue account nyingine ambayo itavutia kila mtanzania kununua hivyo vitabu hilo jina limekaa kidini na unajua tanzania kuna dini nyingi ni mtazamo wangu tu
 
Back
Top Bottom