Asante sana mpendwa wangu Boflo.
Nimesharudi toka iringa niko morogoro toka jana usiku leo ndio nitarudi kwangu rasmi.
Nilitamani sana niwepo jamani ilka maisha haya???????? Na laiti ningalijua kwamba ningekutwa na msiba basi ningalisogeza tarehe.................lol!
Utu uzima kazi kaka mweeeeee hata mabame b na Paloma na amu wanajua jinsi nilivyokuwa nimetingwa na kuuguza lakini niliambulia kuumbuka kwani nilishindwa kuzuia pumzi ya mwisho ya mpendwa wangu isitoke. Kila nikikumbuka huwa naona kama muujiza.
mwanangu mzima wewe??
mama yako nimemaliza msiba salama ila tu nashindwa kusahau kilichotokea.
ulikuweko?
Asante sana mpendwa wangu Boflo.
Nimesharudi toka iringa niko morogoro toka jana usiku leo ndio nitarudi kwangu rasmi.
Nilitamani sana niwepo jamani ilka maisha haya???????? Na laiti ningalijua kwamba ningekutwa na msiba basi ningalisogeza tarehe.................lol!
Utu uzima kazi kaka mweeeeee hata mabame b na Paloma na amu wanajua jinsi nilivyokuwa nimetingwa na kuuguza lakini niliambulia kuumbuka kwani nilishindwa kuzuia pumzi ya mwisho ya mpendwa wangu isitoke. Kila nikikumbuka huwa naona kama muujiza.
Mama SHIKAMO! mimi mwanao mzima namshukuru Mungu. Mama ni mapenzi ya Mungu haina budi sisi waja wake kushukulu kwa kila jambo atutendelealo. Amempenda Zaidi Yetu. Mapenzi ya Mungu ni Makuu Kwake. I LOVE YOU MAMA
Pole gfsonwin. Mungu ampe pumziko la milele mpendwa wetu.
Pole dada,we are passing the same way!
asante sana mwanangu wa rohoni.
I love u sana mama ! Jumapili Njema na Baraka za Mungu Mwenyezi Ziwe Nawe mama!
Ndio nilikuwepo.. Hukuniona nipo Jiwe Linaloishi eti nae ananikumbushia swala wake, na Vin Diesel duh! Jamaa mkali kwa mke wake huyoo lol!
Asante sana mpendwa wangu Boflo.
Nimesharudi toka iringa niko morogoro toka jana usiku leo ndio nitarudi kwangu rasmi.
Nilitamani sana niwepo jamani ilka maisha haya???????? Na laiti ningalijua kwamba ningekutwa na msiba basi ningalisogeza tarehe.................lol!
Utu uzima kazi kaka mweeeeee hata mabame b na Paloma na amu wanajua jinsi nilivyokuwa nimetingwa na kuuguza lakini niliambulia kuumbuka kwani nilishindwa kuzuia pumzi ya mwisho ya mpendwa wangu isitoke. Kila nikikumbuka huwa naona kama muujiza.
Paloma anakusalimia jamaa...
asanteni sana,
ila jamani Mungu huwa yuko fair?? imagine ameruhusu mtoto wa just 12 yrs afe, ilihali nyumbani tuna bibi na babu ambao wanamwita marahemu KITUKUU bado wanaishi tena ni wazee wa miaka 100 babu, 98 bibi, hawaskii vzr wala kuona kila siku tunawatoa nje kuota jua na kuwarudisha ndani jion, mtu ukipita ukiwasalimia urudipo mara ya pili hukuuliza tena wewe ni nani jamani.......................sijawah kuumia hivi acha tu.
ngoja nikae kimya nisichakachue uzi wa Boflo
amen.................that's ma cute boy!!
ukumbuke kutoa zaka leo, sawa?? pia toa sadaka ya mbegu upande juu ya mwezi unakuja sawa??