Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,959
- 95,282
Sidhani kama wana weza tena kufanya huo utafiti maana wengi wao hawana pass za kusafiriaHivi kuna watu mlioamini tutapewa ndege ya bure? itabidi Twaweza wafanye utafiti mwingine wa akili za watanzania.