Boeing walituahidi ndege ya nyongeza, imeshafika?

Hii ndio hali halisi ya wanachadema
Halafu mkishindwa uchaguzi mnalia tume,kumbe hamna ajenda nzito zaidi ya kebehi

Kebehi wapi wakati Mheshimiwa sana Rais wetu Mpendwa na Mtukufu Malaika aliyasema haya wakati ana wajibu wapinzani wake walio kuwa wakimshangaa kununua Ndege Cash ?..
 
Drimulaina lipo Mwanza gereji linafungwa Wi-Fi.
20180817_102146.png

Simba Sports Club, safarini kwenda Mwanza kupambana na Mtibwa Sugar ngao ya jamii.
 
Ukinunua nyanya, vitunguu nk. Unaomba nyongeza ! Sasa ndege nyongeza ya wapi ? Labda nyongeza ya tairi au baadhi ya spear parts
 
Hahahaha, NDEGE YA NYONGEZA! Kule kijijini kwetu Isanje ukinunua dagaa kwa kipimo cha bakuli sawa na TZS 500 unalalamika kwa muuzaji yaani nimekuchangia/nimekuungisha halafu hata huongezi kama ni hivyo kesho sinunui kwako. Hatimaye anakuongeza dagaa kiasi kidogo ujazo wa kiganja cha mtoto mchanga aliyezaliwa jana ili asipoteze wateja maana anajua utaenda kumtangaza kwa watu wengine kuwa upimaji wake unapunja.
 
Back
Top Bottom